Recent posts
12 March 2024, 13:24
Madiwani Kibondo wasisitiza upatikanaji wa dawa muhimu
Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wameitaka idara ya afya wilayani humo kuhakikisha dawa muhimu zinapatikana muda wote katika zahanati, vituo vya afya na hospitali ya wilaya ili kuondoa usumbufu kwa wagonjwa hasa wajawazito, watoto na wazee.…
12 March 2024, 13:21
Wananchi Kimobwa watakiwa kuzingatia lishe bora kwa watoto
Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kuzingatia matumizi ya vyakula vyenye lishe kwa watoto ili kusaidia kuwakinga na utapiamlo ambao unasababisha udumavu kwa watoto. Na, Emmanuel Kamangu Wananchi wa kata ya Kimobwa halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuhudhuria…
11 March 2024, 16:47
Rwizile: Haki za mtoto hazigawanyiki
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma Mhe. Augustine Rwizile amesema kila mtu ana haki ya kulinda na kuthamini haki za mtoto kwani haki hizi hazigawanyiki. Na, Mwandishi wetu Winfrida Ngassa. Mh Augustine Rwizile amesema hayo wakati…
11 March 2024, 15:36
Serikali yabaini uwepo wa maabara bubu Kasulu
Wananchi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kufuata huduma za afya katika vituo vinavyotambuliwa na serikali baada ya kubainika uwepo wa maabara Bubu ambayo imekuwa ikitoa huduma za vipimo kinyume cha sheria. Akiwa katika ukaguzi wa usafi wa Mazingira katika mtaa…
8 March 2024, 09:42
Watumishi wa umma fuateni maadili ya kazi
Miradi ya maendeleo haiwezi kuwa na viwango kama viongozi hawana maadili ya kazi na viapo vyao. Na James Jovin. Watumishi wa umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi zao kwa kuzingatia maadili ya kazi na…
6 March 2024, 09:54
Kigoma DC yaagizwa kuhamia kwenye ofisi zake
Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Albert Msovela amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma kuhakikisha ifikapo Julai Mosi, 2024 halmashauri hiyo inahamia katika jengo lake la Ofisi linalojengwa na Serikali katika eneo la kiutawala kata ya Mahembe wilayani humo.…
6 March 2024, 08:44
Kuwashinikiza watoto wa kike kufeli bado ni tatizo Kigoma
Wazazi na walezi wa halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya kuwapa maelekezo watoto wao wa kike kujifelisha katika mtihani wa taifa wa darasa la saba ili wasipate nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza. Wito huo…
5 March 2024, 10:09
Mapato yapotea, chanzo kukosekana kwa POS Kasulu
Kukosekana kwa mtambo wa ukusanyaji wa mapato (POS) Personal Operating System kwa baadhi ya kata ikiwemo Nyumbigwa na Murufyiti zilizopo halmashauri ya Mji kasulu Mkoani Kigoma imepelekea halmashauri hiyo kuendelea kupoteza mapato Hayo yamebainishwa na Watendaji wa kata hizo mbili…
5 March 2024, 09:16
Wanawake kushikamana yatajwa kuwa chachu ya kukabiliana na ukatili
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi , Vijana, Ajira na wenye Ulemavu Prof. Joyce Ndalichako amewataka wanawake mkoani Kigoma kushikamana kukabiliana na vitendo vya ukatili ambavyo vimeacha majeraha katika familia nyingi.
4 March 2024, 12:07
Serikali yakamilisha ujenzi wa zahanati Busunzu Kibondo
Serikali imesema itaendelea kuboresha huduma za afya kwa kuhakikisha wanaweka miundombinu bora ya vifaa tiba. Na, James Jovin Wananchi wa kijiji cha Nyaruranga kata ya Busunzu wilayani Kibondo mkoani Kigoma wameepukana na adha ya kutembea zaidi ya kilometa 20 kutafuta…