Recent posts
12 July 2024, 13:18
Waumini wa kikristo kugombea nafasi za uongozi Kigoma
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika mhasham Emmanuel Charles Bwatta amewashauri waumini wa dini ya Kikristo mkoani Kigoma kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika chaguzi za serikali za mitaa mwaka huu. Askofu Bwatta amesema hayo wakati akizungumza katika…
11 July 2024, 12:54
Hii hapa ahadi ya Bashungwa kwa makamu wa rais Dr Mpango
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dr Philip Isdor Mpango amemtaka waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa kuhakikisha upanuzi wa uwanja wa ndege unakamilika haraka ifikapo 2025. Na Josephine KiravuMakamu wa Rais amesema hayo wakati akifanya ukaguzi…
10 July 2024, 16:00
Dkt. Mpango amkalia kooni mkandarasi anayejenga barabara ya Buhigwe -Kasulu
Wizara ya ujenzi kupitia kwa waziri wake Innocent Bashungwa ametakiwa kuhakikisha kumsimamia mkandarasi anajenga barabara ya Buhigwe hdi Kasulu ili iweze kukamilika kwa wakati. Na Josephine Kiravu – Buhigwe Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amemtaka Mkandarasi anayejenga…
9 July 2024, 14:26
Walimu watakiwa kufundisha kwa bidii ili kuinua ufaulu
Serikali imesema itaendelea kutatua na kushughulikia changamoto za walimu ili waweze kufanya kazi bila vikwazo vinavyowakabili. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Waalimu wa Kata ya Murusi Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kusimamia nidhamu bora kwa wanafunzi wao ili…
9 July 2024, 13:17
Askofu wa Anglikana Tanzania awanyoshea kidole wazazi
Wazazi na Walezi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma imeaswa kuwalea watoto wao katika maadili mema ili kuwa viongozi bora wa baadae. Mhashamu baba askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania dayosisi ya western Tanganyika mkoani Kigoma Emmanuel Bwatta ametoa rai hiyo katika…
9 July 2024, 11:34
Dkt. Mpango akabidhi magari matano kwa MADC Kigoma
Wakuu wa wilaya mkoani kigoma wametakiwa kuwatembelea na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua ili kuhakikisha wananchi wanapat huduma kwa wakati. Na Josephine Kiravu – Kigoma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh Dr Philip Isdor Mpango…
9 July 2024, 10:58
Tuzo kwa walimu kuchochea ufaulu kwa wanafunzi Kigoma
Waalimu wa shule za msingi na sekondari katika Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuongeza bidii na maarifa katika ufundishaji ili kuongeza ufaulu kwa wanafunzi. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu Mwl. Vumilia Simbeye katika…
9 July 2024, 09:26
“Wizara ya nishati unganisheni Kigoma na gridi ya taifa”
Mkoa wa kigoma bado unakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika jambo ambalo limekuwa vigumu hata kwa wawekezaji wakubwa kuvutiwa kuja kuwekeza kwenye mkuu huu hali ambayo serikali imeamua kutatua changamoto hiyo kwa kuunganisha mkoa huu na gridi…
9 July 2024, 09:04
Dkt. Mpango aelekeza barabara ya Malagarasi -Uvinza kukamilika kwa wakati
Serikali imesema inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini ikiwemo barabara na umeme ili kuhakikisha mkoa wa kigoma unafunguka na kuwa kitovu cha biashara kutokana na kupakana na nchi za Congo na Burundi. Na Josephine Kiravu Makamu wa Rais wa…
4 July 2024, 13:05
Ukosefu wa maji wasababisha ndoa kuvunjika
Wanawake wa kijiji cha kalalangabo wamesema kukoekana kwa huduma ya maji umesababisha wanaume zao kuwakimbia kwa kile wanadai kuwa wanatoa harufu na kuamua kwenda nje ya ndoa. Na Emmanuel Matinde – Kigoma Wakazi wa Kijiji cha Kalalangabo Kata ya Ziwani…