Recent posts
24 September 2024, 12:27
Namna ongezeko la watu linavyoathri uchumi wa kaya
Serikali imesema halmashauri nchini hazina budi kutumia matokeo ya sensa ya mwaka 2022 kwa ajili ya kupanga maendeleo ya watu, familia na taifa kwa ujumla. Na Michael Mpunije – Kasulu Inaelezwa kuwepo kwa idadi kubwa ya watu kwenye kaya hupelekea…
23 September 2024, 15:58
Miradi ya bilioni 4 yakaguliwa na kuzinduliwa Kibondo
Mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka 2024 umekimbizwa wilayani Kibondo mkoani Kigoma na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo. Na James Jovin – Kibondo Jumla ya miradi sita yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 4 imekaguliwa, kuwekewa mawe…
23 September 2024, 13:26
Wakristo watakiwa kuliombea taifa amani Kasulu
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mji wa Kasulu amewataka wakristo kuendelea kuliombea taifa na mshikamano hasa katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu…
20 September 2024, 09:31
Naibu Waziri Mkuu awawashia moto wakandarasi umeme Kigoma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Dotto Biteko, ameagiza wakandarasi wa ujenzi wa miradi ya kimkakati ya umeme mkoani Kigoma, kuongeza kasi ya utekelezaji ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati na kusaidia katika kukuza uchumi wa watanzania…
20 September 2024, 08:58
Wakandarasi REA wanyoshewa kidole Kigoma
Bodi ya Nishati Vijijini REB, imewaonya wakandarasi wanaosuasua kukamilisha miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini REA, ikisisitiza miradi ikamilike kwa wakati katika vijiji vyote vinavyotekeleza miradi nchini, na kusaidia wananchi kupata nishati ya umeme kwa wakati. REB imezuru miradi inayotekelezwa…
19 September 2024, 14:29
Meli ya MT Sangara kukabidhiwa serikalini Kigoma
Meli ya Mafuta ya MT Sangara iliyokuwa katika ukarabati mkubwa imefanyiwa ukaguzi na majaribio ya mwisho ya mitambo yake ikiwa katika asilimia 96% kabla ya kukamilika na kukabidhiwa serikalini ili kuanza kazi zake katika Ziwa Tanganyika. Na, Emmanuel Matinde Meli…
19 September 2024, 13:39
Milioni 460 zajenga nyumba 4 za watumishi wa afya Kasulu
Serikali imeesema itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa watumishi wa afya kwa kuwajengea nyumba za kuishi ili waweze kutoa huduma kwa wananchi wakiwa karibu na maeneo yao ya kazi. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Jumla ya shilingi milioni 460 zimetumika katika…
19 September 2024, 11:33
Mwenge wa uhuru wazindua mradi wa maji wa bilioni 1.6 Kasulu
Wananchi katika hamashauri ya wilaya kasulu mkoani kigoma wametakiwa kushirikiana na serikali katika kulinda na kutunza vyanzo vya maji ikiwemo kuacha kufanya shughuli za kibinadamu karibu na vyanzo hivyo. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Kiongozi wa mbio za Mwenge wa…
19 September 2024, 10:39
Serikali yatumia bilioni 19 kuboresha sekta ya afya Kigoma
Serikali imesema kuwa itaendelea kujenga na kuboresha miradi mbalimbali hususani miradi ya afya kwa lengo la kuwaletea maendeleo wananchi na kupata huduma karibu na maeneo yao. Na James Jovin – Kibondo Katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita serikali imefanya uwekezaji…
18 September 2024, 17:06
Shilingi milioni 950 zakamilisha barabara mjini Kasulu
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka 2024, Godfrey Eliakim Mnzava amemtaka meneja wa TARURA wilaya Ksulu kuhakikisha anaweka taa kwenye barabara ambayo imejenwa kwa gharama ya shilingi milioni 950. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Jumla ya…