Joy FM

Recent posts

1 September 2025, 15:27

Wachakataji mazao ya uvuvi ziwa Tanganyika walia na masoko

Serikali imesema itaendelea kuwasaidia wavuvi na wachakataji wa mazao ya uvuvi na kuwapatia masoko. Na Kadislaus Ezekie Wananchi  mkoani Kigoma ambao wamejikita katika ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba kwa kufuga samaki aina ya sato wa Ziwa Tanganyika pamoja…

1 September 2025, 14:50

Auawa na wasiojulikana, waondoka na viungo vyake Kigoma

Wananchi wa Mtaa wa Butunga Relini Manispaa ya Kigoma Ujiji wameeleza kushamiri kwa matukio ya mauaji ya watu na kuomba ulinzi uimarishwe kwani hilo ni tukio la tatu ndani ya kipindi kifupi. Na Josephine Kiravu Mtu mmoja ambaye hajatambulika mara…

1 September 2025, 13:31

Serukamba aahidi neema kwa wananchi Kigoma Kaskazini

Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Kaskazini Peter Serukamba na Mgombea udiwani Kata ya Mungonya Agustino Mbanga wamesema watahakikisha wanatekeleza miradi ya maendeleo kwa wananchi wa Kata ya Mungomya ikiwemo barabara, maji na afya. Na Tresiphol Odace Bwana – Kigoma Wananchi…

29 August 2025, 17:30

Wafanyabiashara 4026 wasajiliwa Kigoma

Wafanyabiashara wadogowadogo Mkoani Kigoma wametakiwa wametakiwa kuchangamkia fursa za mikopo inayotolewa na taasisi za benki na Halmashauri ili waweze kujikwamua kiuchumi. Na Orida Sayon Shirikisho  la umoja wa machinga Tanzania (SHIUMA) kanda ya magharibi limefanya kongamano la kumpongeza Dkt Samia…

28 August 2025, 15:49

Mwarobaini ukatili kwa wanawake na watoto wapatikana Kigoma

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake na watoto. Na Josephine Kiravu Wadau wa maendeleo Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali katika kukabiliana na changamoto ya uwepo wa matukio…

28 August 2025, 10:51

CRDB yachochea utekelezaji wa miradi ya kimkakati

Serikali imetoa wito kwa mabenki kubuni mipango mbalimbali ya utoaji wa elimu kwa umma na kuelekeza nguvu zaidi katika kukuza uelewa juu ya masuala ya kifedha pamoja na umuhimu wa kutumia huduma za benki. Na Emmanuel Matinde – Kigoma Makamu…

27 August 2025, 16:36

Askari wa jeshi la kiba watakiwa kuwa wazalendo Kigoma

Vijana waliohitimu mafunzo ya awali ya Jeshi la akiba wameaswa kuwa wazalendo Na Lucas Hoha Mkuu  wa Wilaya  ya Kigoma Dkt Rashird Chuachua amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya awali ya jeshi la akiba kuwa wazalendo katika kulinda na kuhakikisha nchi…

27 August 2025, 13:56

Kasi watoto wa kike kupenda masomo ya sayansi yaongezeka

Idadi ya watoto wa kike wanaosoma masomo ya sayansi imeendelea kuongezeka na hiii ni kutokana na jitihadi mbalimbali za Serikali na wadau wengine katika kuwahamasisha kupenda masomo ya sayansi Na Hagai Ruyagila Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imefanikiwa kutumia…

25 August 2025, 16:37

Wamiliki shule waaswa kuendana na mabadiliko ya mtaala mpya

Mmiliki wa shule za Hekima zilizopo Mjini Kasulu Mkoani Kigoma Fedia Yaredi amesema ataendelea kusimamia shule hizo ili zieweze kutoa elimu bora kwa watoto Na Hagai Ruyagila Wamiliki wa shule binafsi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kukubaliana na mabadiliko ya…

25 August 2025, 14:08

Wahitimu darasa la saba waaswa kuwa na maadili mema

Wito umetolewa kwa shule binafsi kuanza kufuata mabadiliko ya mtaala mpya ambao umetolewa na serikali ili kuboresha sekta ya elimu nchini. Na Sofia Cosmas Watumishi wa umma na sekta binasi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kuondoa utengano na chuki…

Radio JOY Profile

Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like

building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.

Missions

  • To be a voice to the voiceless
  • To influence behavior change from bad character to good character
  • To inspire Kigoma society to participate in development activities.
  • To create an awareness of local interests, views and cultures
  • To be a bridge of communication between government and society.

Visions

  • To bring Kigoma society together
  • To facilitate the sharing of information in Kigoma society.
  • To become a local radio that connects all people from different cultures to share their ideas and lifestyles.
  • To implement sustainable radio programs that improve access to information, and opportunity, and participate in and contribute to all aspects of life.

The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.

Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.