Joy FM
Joy FM
5 August 2025, 11:56

Ikiwa zimesalia siku chache kuelekea uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, viongozi wa dini wametaikiwa kuendelea kuliombea Taifa amani na mshikamano
Viongozi wa dini Mkoani Kigoma wametakiwa kuhubiri amani na kudumisha umoja na mshikamano kuelekea katika uchaguzi Mkuu mwaka huu na kuendelea kutoa Elimu kwa waumini wao kuhusu madhara ya Rushwa.