Joy FM

Wahamiaji haramu wapewa siku 7 kuondoka Kigoma

14 July 2025, 15:26

Baadhi ya wahamiaji haramu waliokamatwa na Idara uhamiaji Mkoani Kigoma, Picha na Mtandao

Idara ya uhamiaji Mkoa wa Kigoma imeendelea na misako ya kuwabaini na kuwakamata raia wa kigeni wanaoingia Nchini kinyume cha sheria.

Jumla ya wahamiaji haramu 419 wamekamatwa na Jeshi la Uahamiaji mkoa wa Kigoma katika oparesheni ya siku tano hadi kufikia jana ambapo Mkuu wa Jeshi hilo Mkoa Dismas Mlula ametoa siku saba kila muhamiaji haramu kokote aliko ajisalimishe au kuomdoka mwenyewe kwa hiari.

Sauti ya Mwandishi wetu Jacob Ruvilo.