Joy FM

Milioni 700 kuongeza mtandao wa maji Kasulu

3 May 2024, 16:02

Mbunge wa jimbo la kasulu mjini Profesa Joyce Ndalichako, Picha na Emmanuel Kamangu

Milioni 700 zimetolewa kwa ajili ya kutandika mabomba ya maji kwa kata za kasulu mjini ili kuwasogezea wananchi huduma ya maji karibu.

Sauti ya Mwanahabari wetu kutoka Kasulu kigoma anasimulia taarifa ifuatayo