Joy FM
watoto wenye uhitaji maalum waomba kutatuliwa changamoto zao
5 February 2024, 13:29
Watoto wenye mahitaji maalumu katika shule ya msingi Nengo iliyoko wilayani Kibondo Mkoani Kigoma wanakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo uhitaji wa taulo za kike hasa kwa wasichana hali ambayo wakati mwingine hupelekea kukosa masomo darasani.
James Jovin ana maelezo zaidi.