Joy FM
Joy FM
19 January 2024, 12:51
Binti mmoja mwenye umri wa miaka 15 ambaye ni mhitimu wa elimu ya msingi mwaka jana amekutana na madhira ya kubakwa na mjomba wake ambaye ni mdogo wa mama yake alipokwenda kumsalimia.
Na, Josephine Kiravu