Jamii FM

Wanaume kikwazo kwa wanawake kuwa viongozi – Makala

1 April 2024, 15:19 pm

Judithi Chitanda akiwa kwenye moja ya vipindi vya Jamii FM Radio. Picha na Musa Mtepa

“Changamoto hizo ni kwa baadhi ya wanaume wenye tabia ya kuwakataza wake zao kushiriki masuala ya uongozi”

Na Musa Mtepa

Ni kipindi kinachoelezea changamoto zinazosababisha wanawake kutoshiriki kwa asilimia kubwa kwenye nafasi za kisiasa na uongozi .

Kupitia kipindi hii utawasikia wanawake kutoka mtaa wa Mbawala manispaa ya Mtwara Mikindani wakielezea changamoto hizo na kwa baadhi ya wanaume wenye tabia ya kuwakataza wake zao kushiriki masuala ya uongozi.

Pia amesikika mwenyekiti wa kijiji cha Msangamkuu na Judithi Chitanda kutoka Nerio Paralegal Mtwara.

Kusikiliza Makala haya Bonyeza Hapa