Jamii FM

Mwanamke

1 April 2024, 15:19 pm

Wanaume kikwazo kwa wanawake kuwa viongozi – Makala

“Changamoto hizo ni kwa baadhi ya wanaume wenye tabia ya kuwakataza wake zao kushiriki masuala ya uongozi” Na Musa Mtepa Ni kipindi kinachoelezea changamoto zinazosababisha wanawake kutoshiriki kwa asilimia kubwa kwenye nafasi za kisiasa na uongozi . Kupitia kipindi hii…

Nelson Everisty mkazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambae amekuwa akizalisha maua katika Eneo hilo huku akielezea namna yanavyoweza kutunza Mazingira ya Nyumbani na mengine hutumika kama Dawa na Matunda.

12 February 2024, 15:07 pm

Umuhimu wa kutunza mazingira kwa kutumia upandaji maua-Kipindi

Kipindi cha Mazingira ambacho amesikika kijana Nelson Everisty mkazi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani ambae amekuwa akizalisha maua katika Eneo hilo huku akielezea namna yanavyoweza kutunza Mazingira ya Nyumbani na mengine hutumika kama Dawa na Matunda. Na Musa Mtepa Bustani…

2 November 2023, 18:00 pm

Makala: Huduma ya mama mjamzito na mtoto mchanga

Na Mwanahamisi Chikambu/ Gregory Millanzi Huduma ya mama na mtoto ina chimbuko lake kulingana na historia, wapo wanaosema binadamu ametokana na sokwe na wengine wanasema binadamu anatokana na binadamu mwenyewe. Karibu katika makala haya ambapo tunaangazia namna mama na mtoto…

28 October 2023, 13:56 pm

Makala – Matumizi ya mkaa wa karatasi

Na Musa Mtepa; Makala haya yanaeleza namna ambavyo kikundi hiki kimeamua kujikita katika kuandaaa mkaa unaotokana na mabox pamoja na karatasi. Katika makala haya utawasikia wanakikundi cha Tumalane, Utamaduni na Mazingira maarufu kama TUMA kinachopatikana katika kijiji cha Msangamkuu halmashauri…