Joy FM

Recent posts

14 March 2024, 10:20

Vibao vya anuani za makazi vyageuzwa vyuma chakavu Kigoma

Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigoma Mganwa Nzota amekemea tabia za wananchi wanaoharibu miundombinu ya nguzo na vibao vya anuani ya makazi na kutumia kama vyuma chakavu. Ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya utekelezaji wa mfumo wa anuani za makazi…

12 March 2024, 14:35

Wazururaji kusakwa mtaani kuimarisha usalama Kigoma

Madiwani na Wananchi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma, wameadhimia kwa pamoja, kuwasaka na kuwakamata Vijana wanaozurura Mitaani na kufanya Uhalifu kwa kuvunja makazi ya watu na kuiba thamani za ndani na kuhatarisha usalama wa watu, ikiwa ni baada…

12 March 2024, 13:24

Madiwani Kibondo wasisitiza upatikanaji wa dawa muhimu

Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wameitaka idara ya afya wilayani humo kuhakikisha dawa muhimu zinapatikana muda wote katika zahanati, vituo vya afya na hospitali ya wilaya ili kuondoa usumbufu kwa wagonjwa  hasa wajawazito, watoto na wazee.…

12 March 2024, 13:21

Wananchi Kimobwa watakiwa kuzingatia lishe bora kwa watoto

Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kuzingatia matumizi ya vyakula vyenye lishe kwa watoto ili kusaidia kuwakinga na utapiamlo ambao unasababisha udumavu kwa watoto. Na, Emmanuel Kamangu Wananchi wa kata ya Kimobwa halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuhudhuria…

11 March 2024, 16:47

Rwizile: Haki za mtoto hazigawanyiki

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Kigoma Mhe. Augustine Rwizile amesema kila mtu ana haki ya kulinda na kuthamini haki za mtoto kwani haki hizi hazigawanyiki. Na, Mwandishi wetu Winfrida Ngassa. Mh Augustine Rwizile amesema hayo wakati…

11 March 2024, 15:36

Serikali yabaini uwepo wa maabara bubu Kasulu

Wananchi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kufuata huduma za afya katika vituo vinavyotambuliwa na serikali baada ya kubainika uwepo wa maabara Bubu ambayo imekuwa ikitoa huduma za vipimo  kinyume cha sheria. Akiwa katika ukaguzi wa usafi wa Mazingira katika mtaa…

8 March 2024, 09:42

Watumishi wa umma fuateni maadili ya kazi

Miradi ya maendeleo haiwezi kuwa na viwango kama viongozi hawana maadili ya kazi na viapo vyao. Na James Jovin. Watumishi wa umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi zao kwa kuzingatia maadili ya kazi na…

6 March 2024, 09:54

Kigoma DC yaagizwa kuhamia kwenye ofisi zake

Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Albert Msovela amemuelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma kuhakikisha ifikapo Julai Mosi, 2024 halmashauri hiyo inahamia katika jengo lake la Ofisi linalojengwa na Serikali katika eneo la kiutawala kata ya Mahembe wilayani humo.…

6 March 2024, 08:44

Kuwashinikiza watoto wa kike kufeli bado ni tatizo Kigoma

Wazazi na walezi wa halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya kuwapa maelekezo watoto wao wa kike kujifelisha katika mtihani wa taifa wa darasa la saba ili wasipate nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza. Wito huo…