Recent posts
28 June 2024, 16:43
Nyumba yateketea kwa moto na mali zote Kasulu
Nyumba moja imeteketea kwa moto na vitu vyote vilivyokuwemo ndani katika mtaa wa Soko Jipya kata ya Murubona halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma huku chanzo cha moto kikitajwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni hitilafu ya umeme. Ripoti zaidi…
28 June 2024, 12:32
Wafanyabiashara watakiwa kutumia vifaa vya kuzimia moto
Jeshi la zimamoto na uokoaji wilayani kasulu mkoani kigoma limesema wafanyabiashara na jamii kwa ujumla hawana budi kutumia vifaa vya kuzima moto hasa kwenye nyumba zao ili kusaidia pale majanga yanapotokea. Na Michael Mpunije – Kasulu Wafanyabiashara wilayani Kasulu Mkoani…
27 June 2024, 09:25
Shule zatakiwa kulima ili kupata chakula cha wanafunzi
Katika kukabiliana na tatizo la chakula kwa wanafunzi shuleni wilayanikasulu, shule za msingi na sekondari wametakiwa kuanzisha mashamba ili waweze kulima na kupata chakula cha kutosha. Na Michael Mpunije – Kasulu Shule za msingi na Sekondari katika halmashauri ya wilaya…
27 June 2024, 09:00
Walimu waaswa kutofanya kazi kwa mazoea
Halmashauri ya wilaya Kibondo imetakiwa kutatua mahitaji ya walimu na kuacha kutumia lugha zisizo rafiki kwa walimu wanapopeleka changamoto zao ili zitatuliwe. Na James Jovin – Kibondo Katika kurekebisha upatikanaji wa elimu bora hapa nchini walimu wilayani Kibondo wameaswa kuacha…
26 June 2024, 12:51
Mkandarasi apewa siku 3 kukamilisha barabara
Barabara ya Kalinzi – Mkabogo katika halmashauri ya wilaya Kigoma imekuwa haipitiki kwa muda mrefu kutokana na mvua zilizonyesha na kusababisha mkandarasi kufanya ujenzi katika barabara hiyo inayotegemewa na wakati wa kata hiyo kwa shughuli za usafirishaji wa bidhaa Na…
25 June 2024, 11:54
FPCT Kigoma yatoa msaada kwa watoto yatima
Jamii na wadau wa maendeleo Mkoani Kigoma wameombwa kujitokeza na kuendelea kusaidia watoto yatima wanaolelewa na kituo cha matyazo kilichopo kata ya kalinzi halmashauri ya wilaya kigoma. Na Lucas Hoha – Kigoma Kanisa la The Free Pentekosite Church of Tanzania…
25 June 2024, 09:55
Tani 3.6 za bidhaa bandia zateketezwa na TBS Kigoma
Jamii mkoani Kigoma imetakiwa kuendelea kushirikiana na wafanyabiashara kubaini na kutoa taarifa za watu wanaojihusisha na uingizaji wa bidhaa zisizokuwa na ubora kwa mamlaka husika ili waweze kuchukuliwa hatua za kisheria. Na Emmanuel Matinde -Kigoma Bidhaa mbalimbali zenye uzito wa…
24 June 2024, 15:35
Serikali yaonya upotoshaji zoezi la wakimbizi kurejea Burundi
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imeyaonya mashirika ya Umoja wa Mataifa ya kuhudumia wakimbizi na kuyataka kutojihusisha na upotoshaji wa kukwamisha zoezi la kuwarudisha wakimbizi wa nchi ya Burundi kwa kuhofia kukosa kazi zao baada ya…
24 June 2024, 14:56
Wakuu wa idara acheni kutuma wawakilishi
Serikali wilayani kasulu imetakiwa kuhakikisha wakuu wa idara wanahudhuria mikutano yote na kuacha kutuma wawakilishi kwani wengi wao wamekuwa wakishindwa kujibu hoja ama maswali wanayoulizwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wakuu wa idara wa halmashauri ya Mji Kasulu wametakiwa kuacha…
21 June 2024, 12:33
Maafisa ardhi Kigoma watakiwa kupima maeneo, kutoa hatimiliki
Katika kukabiliana na migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikijitokeza maeneo mbalimbali nchini, Halmashauri ya wilaya Kasulu kupitia kwa maafisa ardhi kupima maeneo yote na kutoa hatimiliki. Na Michael Mpunije – Kasulu Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kasulu ametakiwa kuwaagiza…