Recent posts
18 July 2024, 11:40
Wapanda juu ya miti kutafuta mawasiliano Geita
Serikali imesema itaendelea kujenga minara nchini nzima ili kuhakikisha mawasiliano yanapatikana kwa wananchi waliokuwa hawapati mawasiliano ili kuchochea maendeleo. Na Samwel Masunzu Wananchi wa kata ya Nyakagomba wilayani Geita mkoani Geita wamesema walikuwa wanalazimika kupanda kwenye vichuguu na milima kutafta…
18 July 2024, 11:39
Barabara zawa kero kwa wananchi Mkigo
Wananchi wa vijiji vya kata ya MKigo Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma, wameiomba serikali kutatua changamoto zinazowakabili, ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya barabara zilizoharibika kutokana na mvua nyingi zilizonyesha msimu wa mwaka 2023-2024, huduma za umeme wa REA…
18 July 2024, 09:07
Wananchi walia na TANESCO kutopewa umeme
Mbunge wa jimbo la kigoma kaskazini Assa Makanika amelitaka shirika la umeme mkoani kigoma TANESCO kuhakikisha wanapeleka huduma ya umeme kwa wananchi wa vijiji ambavyo havijafikiwa na huduma hiyo hali inarudisha nyuma shughuli za maendeleo. Na Kadislaus – Kigoma Dc…
18 July 2024, 08:38
Watumishi watakiwa kubuni vyanzo vya mapato kigoma
Serikali mkoani kigoma imewataka watumishi kusimamia ukusanyaji wa mapato ili ksaidia kupata mapato yatayosaidia katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Na Tryphone Odace – Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji,…
18 July 2024, 08:17
Mwenyekiti atuhumiwa kuiba na vifaa vya ujenzi
Mkuu wa wilaya Buhogwe Michael Ngayalina amemwagiza afisa utumishi kumtafuta mwenyekiti wa kijiji cha songambele ili aweze kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwemo wizi wa vifaa vya ujenzi wa shule hali iliyosababisha ujenzi kusimama. Na Michael Ngayalina – Buhigwe Wananchi wa kijiji…
17 July 2024, 16:12
Wakulima watakiwa kupima afya ya udongo kigoma
Serikali imesema itaendelea kutoa elimu kwa wakulima ili waweze kutambua namna ya kupima afya ya udongo ili waweze kulima kilimo chenye tija na ushindani kwenye sokola ndani na nje ya nchi. Na Michael Mpunije – Kasulu Wakulima wa mazao mbalimbali…
17 July 2024, 13:17
NGO’s zatakiwa kuweka uwazi kwenye miradi
Serikali imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa mashirika yasiyo ya kiserikali ili yaweze kufanya kazi katika mazingira bora. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mashirika yasiyo ya kiserikali yametakiwa kuongeza uwazi katika utendaji wao wa kazi ili serikali ijuwe namna wanavyotekeleza…
16 July 2024, 16:13
Wananchi mtumie fursa zilizopo kujikwamua kiuchumi
Inaelezwa kuwa uwepo wa fursa mbalimbali za kiuchumi katika halmashauri ya mji wa kasulu mkoani kigpma wananchi wameshauriwa kutumia fursa hizo kwa ajili kujiongezea kipato na kuinua uchumi wao na uchumi wa taifa kwa ujumla. Na Hagai Ruyagila – Kasulu…
16 July 2024, 11:30
Bilioni 2 zaboresha miundombinu ya elimu
Mbunge wa Jimbo la Kasulu mjini Profesa Joyce Ndalichako amesema kuwa serikali imeendelea kutenga pesa kwa ajili ya uboreshaji wa miundombinu ya shule ili kuchochea kiwango cha ufaulu kwa wananchi kwa kuwa na mazingira bora na rafiki kwa kujifunza. Na…
16 July 2024, 11:13
Minara 758 kufikisha mawasiliano nchi nzima
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imedhamiria kujenga minara ya mawasiliano ili kuhakikisha maeneo mbalimbali nchini yanakuwa na mawasiliano ya uhakika na kuchochea maendeleo Kwa wananchi. Na Tryphone Odace – Kibondo Waziri wa habari na mawasiliano Nchini Tanzania…