Recent posts
7 August 2024, 13:32
Madereva watakiwa kutii sheria za barabarani
Jeshi la polisi wilayani kasulu mkoani kigoma limewataka madereva wa vyombo vya moto na watumiaji wa barabara kuzingatia matumizi ya barabara ili kuepukana na ajali zinazojitokeza wakiwa barabarani. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Watumiaji wa vyombo vya moto hususani waendesha…
7 August 2024, 12:04
Wadau watakiwa kusaidia kuboresha miundombinu ya elimu
Serikali wilayani kasulu mkoani kigoma imewataka wadau wa maendeleo kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali za kuboresha miundombinu ya elimu ili kuhakisha wanafunzi wanapata elimu bora. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Wadau wa maendeleo wilayani Kasulu wameaswa kuendelea kumuunga mkono…
6 August 2024, 10:52
Dkt. Nchimbi, hatutaki mchakato, wananchi wanahitaji kituo cha afya
Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini mkoani Kigoma Mh Asa Makanika ameiomba serikali ya awamu ya sita kusaidia wananchi wa kata ya Mwandiga Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kuwajengea kituo cha afya ili kuondoa usumbufu wanaoupata wakati wakihitaji matibabu. Kauli…
6 August 2024, 10:08
Bilioni 58.7 zaboresha sekta ya elimu Kigoma
Na, Joha Sultan Naibu Waziri Ofisi ya Raisi wizara ya Tamisemi Mhe.Zainabu Katimba amewataka wazazi wote mkoani kigoma kuwapeleka watoto shule na kukomesha utoro. Ameeleza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanywa na chama cha mapinduzi katika viwanja vya community center…
2 August 2024, 13:39
Afukuzwa kazi kwa utoro, kulazimisha kufanya mapenzi na wagonjwa
Baraza la madiwani wilayani Kibondo mkoani Kigoma limemfukuza kazi mtumishi wa idara ya afya, ustawi wa jamii na lishe kwa makosa mbalimbali ikiwemo utovu wa nidhamu. Na James Jovin – Kibondo Mtumishi mmoja wa halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani…
2 August 2024, 11:18
Serikali yapongezwa kuimarisha ulinzi usafiri wa usiku
Uamzi wa serikali kuruhusu magari kuanza safari za usiku kwenda maeneo mbalimbali ya nchi hofu ziliibuka kwa baadhi ya wananchi wakihofia usalama wakati wa safari kitu ambacho serikali chini wizara ya mambo ya ndani iliwatoa hofu wananchi na kuwa wataimarisha…
1 August 2024, 11:57
Mbunge atoa msaada wa mabati kujenga ofisi CCM
Katika kuunga mkono juhudi za ujenzi wa ofisa ya chama cha mapinduzi wilayani buhigwe, Mbunge wa Jimbo hilo ametoa mabati ili kuanza ukarabati wa ofisi hiyo. Na Tryphone Odace – Buhigwe Mbunge wa jimbo la Buhigwe Mkoani Kigoma Felix Kavejuru ametoa…
1 August 2024, 11:24
KUWASA yalalamikiwa maji kuwanufaisha matajiri tu Kigoma
Wananchi Katika Kijiji cha Matyazo Kata ya Kalinzi Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani Kigoma, Wamelalamika kukatiwa Maji kutoka katika Mradi wa Maji Kijiji humo, na kusababisha kaya nyingi kulazimika kutumia maji yasiyosalama kiafya, sambamba na kuomba Uongozi wa RUWASA…
1 August 2024, 09:45
Wananchi kuachana na matumizi ya kuni kutunza mazingira
Hamashauri ya wilaya Kigoma imesema itaendelea kuhamasisha wananchi kupanda miti ili kulinda mazingira kwa manufaa ya baadaye. Na Orida Sayon – Kigoma Dc Wananchi Wilayani Kigoma wametakiwa kutunza mazingira kwa kupanda miti ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya…
1 August 2024, 08:54
Wafanyabiashara walia na utitiri wa kodi Kigoma
Serikali ya mkoa Kigoma imesema itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa wafanyabiashara ii waweze kufanyabiashara kwa urahisi kwa kuweka mindombinu bora ya usafiri na usafirishaji. Na Lucas Hoha – Kigoma Wafanyabiashara Mkoani Kigoma wameomba Serikali kupunguza utitili wa Kodi zinazotozwa mipakani…