Recent posts
9 September 2024, 15:21
Wanawake wahimizwa kuwania nafasi za uongozi
Wanawake Mkoani Kigoma wameshauriwa kujitokeza kushiriki na kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye jamii hasa katika uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Na Luca Hoha – Kigoma Dc Kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka…
9 September 2024, 13:30
Vijana wa JKT Bulombora waaswa kujiepusha na madawa ya kulevya
Mkuu wa wilaya Kasulu Kanali Isack Mwakisu amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika kambi ya 821 KJ Bulombora kujiepusha na matumizi ya madawa za kulevya kwani wanategemewa katika ujenzi wa taifa. Na Josephine Kiravu – Kigoma Vijana…
9 September 2024, 13:08
Maafisa tabibu watakiwa kuwa na maadili ya kazi yao
Vijana waliohitimu mafunzo ya uafisa tabibu katika chuo cha uafisa tabibu wilayani kibondo mkoani kigoma wameaswa kuwa waadilifu katika kuwatumikia wananchi. Na James Jovin – Kibondo Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma inapanga kuongeza kozi mbali mbali za masomo…
6 September 2024, 11:53
Serikali yafafanua zahanati kutumika bila kusajiliwa Kasulu
Kamati ya siasa ya Chama cha mapinduzi CCM wilaya ya Kasulu ikiongozwa na mwenyekiti wa chama hicho Bw.Mberwa chidebwe imeendelea kushikiria msimamo wake wa kutoridhishwa na kasi ya ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Chekenya. Na Michael Mpunije – Kasulu…
5 September 2024, 16:55
Mbaroni kupanga njama, utapeli na udanganyifu Kigoma
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limesema litaendelea kuwachukulia hatua za kisheria wanaojihusisha na utoaji wa taarifa za uongo iwemo wanaojiteka na kusema wametekwa kwa lengo la kujipatia pesa kwa udanganyifu. Na Josephine Kiravu – Kigoma Jeshi la polisi mkoani Kigoma…
5 September 2024, 16:23
CCM yatilia shaka ujenzi wa zahanati pesa ikiliwa
Wananchi wa kijiji cha chekenya wilayani mkoani kigoma huenda wakawa wanapitia shuruba za kukosa huduma za afya baada ya zahanati iliyopo kijijini humo kusajiliwa kuwa inatoa huduma huku ikiwa haijakamilika na seriakli ikiitengea bajeti kuwa miongoni mwa zahanati zinazotoa huduma…
4 September 2024, 13:10
Tahadhari matumizi ya vyakula vyenye kemikali
Jamii imeshauriwa kutumia vyakula vya asili kuliko matumiz ya vyakula vyenye kemikali vivyozaliwa viwandani. Na Hagai Ruyagila- Kasulu Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kutumia vyakula vya asili ili kuwapatia watoto wao kwa ajili ya kuimalisha kinga zao…
3 September 2024, 15:05
Baraza la wazee lazitupia lawama sera, sheria zinazotumika kwa sasa
Baraza la wazee katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma wameomba kutungwa kwa sheria kutokana na sera ya taifa ya wazee ambayo itawasaidia kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili. Hayo yamejiri katika kikao cha mabaraza ya wazee kutoka kata mbalimbali…
3 September 2024, 14:50
Wananchi kunufaika na ukamilifu wa ofisi ya kijiji Kakonko
Kijii cha Nyakiyobe kilichopo kata ya Gwarama wilayani Kakonko mkoani Kigoma kimefanikiwa kujenga ofisi ikiwa ni miaka kumi tangu kuanzishwa kwake, hali hiyo itarahisisha shughuli mbalimbali na kujiletea maendeleo na taifa kwa ujumla.
3 September 2024, 14:40
KUWASA yadhamiria kupambana na wezi wa maji
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji (KUWASA) imeendelea kupiga hatua muhimu katika kupambana na wizi wa maji.