Recent posts
18 September 2024, 17:06
Shilingi milioni 950 zakamilisha barabara mjini Kasulu
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka 2024, Godfrey Eliakim Mnzava amemtaka meneja wa TARURA wilaya Ksulu kuhakikisha anaweka taa kwenye barabara ambayo imejenwa kwa gharama ya shilingi milioni 950. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Jumla ya…
18 September 2024, 15:15
RUWASA Kasulu yatakiwa kukamilisha mradi wa maji
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa kwa mwaka 2024, Godfrey Mnzava amemtaka Mkurgenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira katika halmashauri ya mji wa kasulu kusimamia ujenzi wa mradi wa maji Kimobwa ili uweze kukamilika…
17 September 2024, 14:53
Vijana kuongeza mchango wa kilimo kwenye Taifa
Serikali wilayani kibondo imesema vijana hawana budi kuchangamkia fursa za kilimo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuacha kupoteza muda kusubiri ajira. Na James Jovin – Kibondo Vijana wilayani Kibondo mkoani Kigoma wametakiwa kuwekeza katika sekta ya kilimo ili kujikwamua kimaisha…
17 September 2024, 11:30
Wakristo watakiwa kuliombea Taifa
Wakristo Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuliombea Taifa ili Mungu aweze kuliepusha na matatizo yanayoendelea kujitokeza ikiwemo mauwaji na utekaji wa watu Nchini. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika Mkoani Kigoma Mhasham Emmanuel…
16 September 2024, 10:36
Zaidi ya milioni 400 zajenga daraja, barabara Kigoma
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Godfrey Mnzava ameutaka uongozi wa halmashauri ya Kigoma kupitia kwa meneja wa wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA kusimamia na kuweka alama kwenye daraja mawe lilipo katika vijiji vya magalaganza…
16 September 2024, 07:20
Bilioni 2.8 kujenga mradi wa maji kwa vijiji 3 Kigoma
Serikali kupitia Wizara ya Maji imesema itaendelea kujenga na kupanua usambazaji wa maji kwa wananchi ili kurahisisha upatikanaji kwa jamii na kuondoa changamoto ya kutembea umbali mrefu kufuata huduma ya maji. Na Tryphone Odace – Kigoma DC Zaidi ya shilingi…
13 September 2024, 14:47
Jamii yaaswa kuacha kuwatumikisha watoto Kasulu
Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Uhamiaji wilayani Kasulu mkoani Kigoma Elizabeth George ameitaka jamii kuacha kuwatumisha watoto chini ya umri wa miaka 18. Na Hagai Ruyagil – Kasulu Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya kuwatumikisha watoto wenye…
13 September 2024, 09:31
Walimu watoro kazini kuchukuliwa hatua Kibondo
Baraza la madiwani wilayani Kibondo Mkoani Kigoma limesema litawachukulia hatua za kinidhamu walimu wote ambao wamekuwa hawakai kwenye vituo vyao vya kazi hasa muda wa masomo na kwenda kufanya biashara Na James Jovin – Kibondo Serikali wilayani Kibondo mkoani Kigoma…
12 September 2024, 16:00
Miradi ya bilioni 6 kuzinduliwa na wenge wa uhuru Kasulu
Mkuu wa wilaya Kasulu Mkoani Kigoma amewataka wananchi kujitokeza kuupokea mwenge wa uhuru utakapowasili wilayano na kushuhudia miradi ya maendeleo ikizinduliwa na kuanza kutoa huduma kwa jamii. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mwenge wa uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa…
10 September 2024, 08:50
Mkandarasi atakiwa kukamilisha mradi wa maji kwa wakati
Kamati ya siasa ya Chama Cha Mapinduzi wilayani Kasulu mkoani Kigoma kimemtaka mkandarasi anayetekeleza mradi wa maji wa miji 28 katika halmashauri hiyo kutekeleza mradi huo kwa wakati ili uanze kutoa maji kwa wananchi. Na Michael Mpunije – Kasulu Mkandarasi…