Recent posts
5 June 2024, 12:12
“Wafanyabiashara fanyeni miamala benki kuepuka fedha bandia”
Wafanyabiashara nchini wametakiwa kutumia benki kuu ya tanzania ili kuhakiki pesa zao kabla ya kufanya miamla ya pesa kwa lengo la kuepuka kuoewa pesa bandia. Na Tryphone Odace Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa wito kwa wafanyabiashara nchini kufanya miamala…
5 June 2024, 11:43
BoT yawataka wananchi kutunza fedha kwa njia sahihi
Katika kuhakikisha fedha zilizopo kwenye mzunguko nchini zinaendelea bora na kutokuwa na madhara kwa watumiaji, Benki kuu ya tanzania imeelekeza wananchi kuhakikisha wanaweka pesa zao katika mazingira rafiki. Na Tryphone Odace Wito umetolewa kwa wananchi nchini kutunza fedha kwa njia…
4 June 2024, 13:32
Uchafuzi wa mazingira watajwa kuathiri ziwa Tanganyika
Shughuli za binadamu zimeendelea kutajwa kama chanzo kikuu cha uchafuzi wa mazingira katika ziwa Tanganyika na kusababisha viumbe vilivyomo ndani ya ziwa hilo kuwa hatarini. Na Tryphone Odace Mashirika ya Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na nchi zinazozunguka ziwa Tanganyika wamekutana…
30 May 2024, 12:13
Wafungwa kufikiwa maboresho ya daftari la kudumu la wapiga kura
Tume huru ya taifa ya uchaguzi imesema kuwa katika zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura wafungwa watapata nafasi ya kujiandikisha ili waweze kushiriki katika zoezi la uchaguzi mdogo mwaka huu na uchaguzi mkuu hapa mwakani. Na…
30 May 2024, 10:06
Mwalimu mbaroni kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi wake
Serikali imesema itaendelea kuwachukulia hatua za kisheria walimu na watu wote ambao wamekuwa wakijihusisha kimapenzi na wanafunzi wao kwani wanasababisha kwanafunzi kushindwa kufikia malengo yao. Na Kadislaus Ezekiel – Kibondo Jeshi la Polisi Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma, limemkamata Mwalimu wa…
30 May 2024, 09:30
Wananchi acheni kusema maji ni ya Mungu, lipieni ankara za maji.
Mamlaka zinazosimamia huduma za maji zimetakiwa kuhakikisha zinasambaza huduma ya maji maeneo yote ambayo hawajafikia huduma ya maji. Na Lucas Hoha – Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye umetoa…
29 May 2024, 12:05
Kasulu yasisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia
Jamii katika halmashauri ya mji wa kasulu mkoani kigoma imetakiwa kuzingatia matumizi ya nishati safi ya kupikia kama sehemu ya mpango mkakati wa kupambana na uharibifu wa mazingira. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma imesema…
29 May 2024, 09:55
Serikali yapongezwa udhibiti, ramli chonganishi
Serikali wilayani kasulu imesema iitaendelea kuhakikisha ulinzi na usalama unaimarishwa kwa kuwachukulia hatua wale wote watakaoonyesha vitendo vya uvunjifu wa amani kwenye jamii ikiwemo ramli chonganishi. Na Michael Mpunije – Kasulu Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma…
28 May 2024, 14:43
DC Kigoma aagiza kero ya umeme kutatuliwa
Licha ya serikali ya kusema kuwa hali ya upatikanaji wa umeme nchini ni nzuri bado hali ya upatikanaji wa umeme mkoa wa kigoma umekuwa sio wa uhakika kutokana na kutolewa kwa mgao. Na Josephine Kiravu – Kigoma Mkuu wa wilaya…
28 May 2024, 13:07
Wananchi watakiwa kutunza mazingira Kigoma
Wananchi mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kutunza mazingira kwa kufanya usafi ikiwa ni pamoja na kupanda miti ili kurejesha ardhi kwenye uoto wake wa asili, kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Na Timotheo Leonard – Kigoma. Zaidi ya hekta laki nne…