Recent posts
10 June 2024, 15:26
Ajeruhiwa kwa risasi vurugu zikiibuka baina ya polisi na wafugaji Uvinza
Vurugu vimetokea baina ya jeshi la polisi mkoani kigoma na wafugaji hali iliyosababisha mto mmoja kujeruhiwa kwa kupigwa risasi. Na Josephine Kiravu Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limethibitisha kutokea kwa vurugu baina ya askari polisi na wafugaji huko katika kijiji…
10 June 2024, 10:48
“Wakulima tumieni mbegu bora za kahawa”
Serikali wilayani Kasulu mkoani Kigoma inatarajia kugawa mbegu bora za kahawa kwa wakulima ili waweze kulima kilimo chenye tija ambacho kitakuwa na mazao ya kutosha na yenye ushindani kwenye soko la ndani na nje ya nchi. Na Michael Mpunije Wakulima…
7 June 2024, 12:02
“Kasulu ni shwari licha ya uwepo viashiria vya uvunjifu wa amani”
Serikali wilayani Kasulu imesema itaendelea kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaojihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwemo udokozi na wizi kwenye makazi yao ili kuhakikisha wananchi kufanya kazi kwa amani. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa Wilaya…
7 June 2024, 11:48
Wakimbizi waishio kambi za Kigoma watakiwa kurudi kwa hiari
Serikali ya Tanzania na Burundi zimeendelea kuhamasisha wakimbizi waishio kambi za nduta na nyarugusu mkoani kigoma kurejea kwao kwa hiari kwani tayari taifa la burundi kuna amani ya kutosha kwa sasa. Na, Josephine Kiravu Kufuatia kusuasua kurejea makwao wakimbizi wa…
6 June 2024, 10:56
Watoto hupotea na kukutwa wamefariki Kasulu
Serikali imetakiwa kufuatilia na kudhibiti vitendo vya watoto kupotea katika mazingira ya kutatanisha katika halmashauri ya mji wa Kasulu hali inayosababisha wananchi kuishi bila amani. Na Michael Mpunije – Kasulu Wananchi katika halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma wameiomba serikali…
6 June 2024, 10:34
Wakimbizi waaswa kuacha kukata miti kasulu
Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi wakimbizi katika kambi ya nyargusu wilayani kasulu mkoani kigoma wametakiwa kutunza misitu inayowazunguka ili iweze kudumu na kutumia nishati safi ya kupikia ambayo haiathiri mazingira. Na Michael Mpunije – Kasulu Wakimbizi raia nchi za…
6 June 2024, 09:19
Uharibifu wa mazingira chanzo cha mabadiliko ya tabianchi
Serikali imewataka wananchi kuendelea kutunza mazingira ili kusaidia kupunguza majanga ambayo yamekuwa yakisababisha maafa. Na Josphine Kiravu Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia utunzaji wa mazingira ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza ikiwa ni pamoja na ongezeko la mvua ambazo mara kadhaa…
5 June 2024, 13:32
Wananchi watakiwa kuzingatia usafi wa mazingira
Serikali wilayani kasulu mkoani kigoma imesema haitawafumbia wananchi na taaisisi ambazo hazizingatii usafi wa mazingira ili kuhakikisha magonjwa ya mlipuko yanadhibitiwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wananchi wa Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Wametakiwa desturi ya kufanya usafi wa mazingira…
5 June 2024, 13:15
Bidhaa zateketea kwa moto, maduka 12 yakinusurika Kasulu
Wananch wilayani kasulu mkoani kigoma kuendelea kuchukua tahadhari za majanga ya moto ili kuepuka hasa zinazojitokeza baada ya kutokea majanga ya moto. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Duka moja limeungua kwa moto katika soko kuu la Kasulu Mjini lililopo jirani…
5 June 2024, 12:55
“Wanawake wanabakwa na hawatoi taarifa Kasulu”
Vitendo vya ubakaji kwa wanawake hasa wanaojishughulisha na kilimo katika maeneo ya mashambani wilayani kasulu vimeendelea kushamiri huku wahanga wakiogopo kutoa taarifa za vitendo hivyo kwa kuhofia kuacha na wenza wao. Na Michael Mpunije Wananchi wilayani Kasulu mkoani kigoma wameiomba…