Recent posts
4 July 2024, 12:02
Wananchi walalamikia michango mingi shuleni
Wazazi na walezi wilayani kibondo Mkoani Kigoma wametakiwa wameomba serikali kupunguza baadhi ya michango midogo midogo ambayo hutozwa shuleni kutokana na hali kuwa ngumu ya maisha. Na James Jovin – Kibondo Wakati shule tayari zimefunguliwa kwa muhula wa pili kwa…
4 July 2024, 10:12
DC Kigoma azitaka NGO’s kuzingatia maadili ya kitanzania
Wakati mashirika yasiyokuwa ya serikali yakiendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kuleta maendeleo kwa wananchi kwa kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo yametakiwa kutokubali kutumia vibaya kwa lengo la kuchafua taswira ya nchi na kuharibu maadili. Na Josephine Kiravu –…
4 July 2024, 09:55
Meneja TRA mbaroni, kukutwa na meno ya tembo Kibondo
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma kigoma limesema litaendelea kuwachukulia hatua watu wanaojihusisha na uhabifu wa nyara za serikali ili kuwa fundisho kwa watu wote wanaojihusisha na vitendo hivyo. Na Kadislaus Ezekiel – Kigoma Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma, limethibitisha kumkamata…
3 July 2024, 14:21
Umeme wa gridi ya taifa kuifungua Kigoma
Serikali ya mkoa wa Kigoma imesema dhamira ya serikali kuu ni kuona Kigoma inakuwa na umeme wa uhakika ili kuendelea kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Na Sadiki Kibwana – Kigoma Jumla ya shilingi bilioni 434 zilizotolewa na…
2 July 2024, 16:28
Volkano la tope lalipuka, hofu yatanda kwa wananchi Kigoma
Serikali katika halmashauri ya wilaya Kigoma imewataka wananchi kutulia wakati ikiendelea kufuatilia hali ilivyo baada ya volkano la tope kulipuka. Na Josephine Kiravu – Kigoma Wananchi wa kijiji cha Pamila kata ya Matendo wametakiwa kuondoa hofu kufuatia kuwepo kwa tope…
2 July 2024, 15:57
Zaidi ya shule 9 Uvinza zina uhaba wa madawati 1,000
Wananchi wa kata ya Ilagala wilayani Uvinza mkoani Kigoma wameomba serikali kuwasaidia kupunguza tatizo la madawati linazozikubwa shule za kata hiyo ili kuwasaidia watoto kuondokana na tatizola kukaa chini Na Kadislaus Ezekiel – Uvinza Shule za msingi zaidi ya tisa…
2 July 2024, 11:29
Madiwani wamtaka DED Kasulu kutoa taarifa ya mapato
Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji Kasulu ametakiwa kutoa taarifa ya mapato ya soko la Kigondo ili kufahamu mapato yanapatikana kwenye soko hilo kama sehemu ya chanzo cha mapato ya halmashauri hiyo. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Baraza la Madiwani katika…
2 July 2024, 10:57
Wananchi Kasulu waomba doria kudhibiti uhalifu
Jeshi la polisi wilayani Kasulu limesema litaendelea kufanya doria muda wote ili kuweza kuwatia hatiani watu wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu kwenye makazi ya watu. Na Michael Mpunije – Kasulu Wananchi wa kata ya Mwilamvya halmashauri ya mji Kasulu mkoani…
2 July 2024, 10:42
Wananchi Kasulu walia mabomba kutoa maji machafu
Wananchi wa kata ya Kumunyika wamelalamikia serikali kupitia mamlaka ya maji Kasulu kuruhusu mabomba ya ya maji kuwa na tope hali inayoweza kusababisha magonjwa ikiwemo kuhara. N a Emmanuel Kamangu – Kasulu Diwani wa kata ya Kumunyika Bw. Selaman Kwirusha…
2 July 2024, 08:42
Wananchi Mwilamvya wachanga milioni 14 kujenga shule mpya
Ili kukabiliana na chamgamoto ya watoto kutembea umbali mrefu kwa wananchi wa kata ya Mwilamvya wilayani Kasulu, hatimaye wananchi wamekubaliana kushirikiana na wadau wa maendeleo kuchanga pesa kwa ajili ya kuanza ujenzi wa shule mpya katani hapo. Na Emmanuel Kamangu…