Recent posts
31 July 2024, 12:41
Wananchi watakiwa kulinda miradi ya maji
Serikali kupitia kwa wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini RUWASA, wilayani Buhigwe mkoani Kigoma imesema wananchi wamekuwa wakishindwa kutunza na kushiriki kikamilifu kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo kutokana na shinikizo la itikadi za vyama vya siasa. Na…
30 July 2024, 11:42
Wananchi watakiwa kutunza vyanzo vya maji Buhigwe
Serikali wilayani Buhigwe mkoani kigoma imesema itaendelea kutoa elimu ya utunzaji wa mazingira yanayozunguka vya maji ili kusaidia kuhifadhi vyanzo vya manufaa ya jamii nzima. Na Michael Mpunije – Buhigwe Wananchi wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wametakiwa kutunza vyanzo vya maji…
30 July 2024, 11:25
Asilimia 4 ya kaya kibondo hazina vyoo bora
Zaidi ya kaya elfu 2345 hazina vyoo katika Halmashauri wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma huku Zaidi ya kaya elfu 4567 zikiwa na vyoo visivyokidhi mahitaji hali ambayo inatishia mlipuko wa magonjwa mbali mbali katika jamii Katika kuangazia tatizo hilo mwandishi…
26 July 2024, 13:16
Zaidi ya familia 300 zapewa msaada wa chakula Uvinza
Wananchi wa kijiji cha Lyabusenda kata ya Sunuka wilayani Uvinza ambao ni miongoni mwa wanaopitia kipindi kigumu baada ya shughuli za uvuvi kusitishwa ziwa Tanganyika na kusababisha kipato kuyumba wameomba wadau wa maendeleo kuwasaidia kuwapa misaada ili kujikimu kimaisha. Na…
26 July 2024, 10:02
Usafi wa mazingira pasua kichwa Kasulu mji
Serikali katika halmashauri ya mji wa kasulu mkoani kigoma imesema inaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha wanadhibiti uchafuzi wa mazingira kwa kuwachukulia hatua za kisheria wanaochafua mazingira. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wadau wa maendeleo katika halmashauri ya Mji wa Kasulu…
22 July 2024, 15:27
Wananchi kunufaika na kilimo cha umwagiliaji mto Luiche Kigoma
Na, Emmanuel Michael Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amewataka wananchi katika kata ya Kagera Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma kutouza ardhi yao ya kilimo katika Bonde la Mto Luiche ambalo limekuwa kitovu cha uchumi wao baada ya serikali kukabidhi…
19 July 2024, 13:40
Mwenyekiti UWT aingilia kati ukosefu wa maji Kigoma
Mamlaka ya maji safi na usafii wa mazingira manispaa ya kigoma ujiji, imetakiwa kuhakikisha inajenga kituo kipya cha kusambaza maji kwa wananchi wa kata ya mji mdogo wa mwandiga katika halmashauri ya wilaya kigoma ili kuwasaidia wananchi kuepukana na matumizi…
19 July 2024, 11:36
NGO’s zilivyoinua uchumi Kasulu
Serikali imesema uwepo wa Mashirika yasiyo ya kiserikali ndani ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekuwa na mchango mkubwa katika kuchochea suala la maendeleo. Hayo yameelezwa na Bi. Theresia Mtewele katibu tawala wa wilaya ya Kasulu wakati akizungumza na wawakilishi…
19 July 2024, 08:53
KUWASA yapewa heko utatuzi wa kero ya maji
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira manispaa ya Kigoma Ujiji (KUWASA) imesema imeendelea kuboresha miundombinu ya usambazaji wa maji kwenye makazi ya watu ili kuhakikisha wananchi wanapata maji ya kutosha. Na Emmanuel Matinde – Kigoma Kamati ya Siasa…
18 July 2024, 11:50
Nabii awaonya waumini kutegemea miujiza
Waumini wa dini ya kikristo mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kupata mafanikio ambayo yatawasaidia katika maisha yao kuliko kutegemea miujiza. Hayo yameelezwa na Askofu wa kanisa la Anglikana dayosisi ya western Tanganyika Mhasham Emmanuel Bwatta wakati akizungumza…