Recent posts
15 August 2024, 09:42
Chakula kwa wanafunzi shuleni kupunguza utapiamlo
Serikali wilayani Kibondo mkoani Kigoma imesema itaendelea kuhakikisha wananchi wanachangia chakula shuleni ili kusaidia kuongeza ufaulu lakini kudhibiti utapiamlo unaotokana na ukosefu wa lishe kwa watoto. Na James Jovin – Kibondo Wazazi na walezi wilayani Kibondo mkoani Kigoma wametakiwa kuongeza…
15 August 2024, 09:12
Kigoma yatajwa kulegalega utekelezaji wa miradi
Mkoa wa Kigoma umetajwa kuwa miongoni mwa mikoa inayotekeleza miradi mbalimbali kwa kiwango cha chini ambapo Waziri wa Tamisemi amesisitiza usimimizi madhubuti ili kuwa na miradi yenye tija. Na Josephine Kiravu – Kigoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala…
15 August 2024, 08:27
Wananchi wamlilia Mchengerwa migogoro ya ardhi
Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wananchi ili kubaini na namna ya kutatua migogoro ya ardhi ambayo imekuwa ikisababisha maafa kwa wananchi hususani wafugaji na wakulima nchini. Na Kadislaus Ezekiel – Kasulu Wananchi katika kata ya Kagerankanda wilayani Kasulu mkoani Kigoma,…
14 August 2024, 14:47
Madereva kuvaa mavazi kukinga upepo kuepuka kifua kikuu
Shughuli ya udereva wa pikipiki licha ya kuwa shemu ya chanzo cha mapato kwa vijana walio wengi lakini kuktotii sheria za kuvaa jaketi za kukinga upepo huenda ukawa changamoto kwao kutokana na maambukizi ya kifua kikuu kinachosababishwa na upepo wakati…
14 August 2024, 14:22
Ukatili unavyowatesa kisaikolojia wanawake Kigoma
Licha ya serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani Kigoma kuungana na kutoa elimu ya masuala ya ukatilii, bado unyanyasaji wa wanawake kwenye familia umeendelea kuacha simanzi, makovu na huzuni miongoni mwao kwa vipigo ndani ya familia. Na Ntezimana Gervas…
14 August 2024, 13:58
Ziwa Tanganyika kufunguliwa rasmi Agosti 15
Serikali iliamua kuchukua uamzi wa kufunga Ziwa Tanganyika na shughuli za uvuvi ili kupisha mazalia ya samaki kuongezeka kutokana na kwamba uvuvi haramu umekuwa ukiathiri ukuaji wa samaki ambao wanavuliwa kiharamu. Na Lucas Hoha – Kigoma Wakati shughuli za uvuvi…
12 August 2024, 13:56
Barabara ya Buhigwe-Kasulu kunufaisha wananchi kiuchumi
Wananchi wa kata ya Heru Juu katika halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wameipongeza serikali kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya lami unaoendelea kutoka wilayani Buhigwe kuelekea wailayani Kasulu ambapo ukikamilika utawasaidia katika shughuli zao za kiuchumi. Pongezi hizo…
12 August 2024, 09:47
Anusurika kufa baada ya kufukiwa na kifusi
Mkuu wa wilaya Kigoma Mh. Salum Kalli amewataka wafanyakazi kwenye miradi mbalimbali ya barabara kuchukua tahadhari wakati wakichimba vifusi ili kuepuka kufukwa kwa maporomoko ya udongo. Na Tryphone Odace – Kigoma Mtu mmoja ajulikanaye kwa jina la Michael Christopher fundi…
8 August 2024, 09:56
Madereva wanaokiuka sheria za barabarani kufutiwa leseni
Mkuu wa wilaya buhigwe Michael Ngayalina amelitaka jeshila Polisi wilayano humo kuwachukulia hatua za kisheriamadereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani ili kupunguza ajali. Na Michael Mpunije – Buhigwe Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma Limetakiwa…
8 August 2024, 09:38
Wakimbizi watakiwa kurejea Burundi kwa hiari
Serikali ya Tanzania na Burundi zimeendelea na zoezi la kuhamasisha wakimbizi waliopo kwenye kambi za wakimbizi mkoani ili kuweza kurejea nchini burundi kutokana na amani ilipo kwa sasa nchini humo. Na Kadislaus Ezekiel – Kasulu Wakimbizi wa nchi ya Burundi…