Recent posts
3 September 2024, 14:40
KUWASA yadhamiria kupambana na wezi wa maji
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji (KUWASA) imeendelea kupiga hatua muhimu katika kupambana na wizi wa maji.
3 September 2024, 14:10
Bilioni 1.29 kulipa fidia wakazi 724 Kibondo
Wananchi waliopisha ujenzi wa barabara kutoka Kibondo hadi Mabamba wanatarajia kupokea fidia zao kutoka serikalini. Na Tryphone Odace Jumla ya shilingi bilioni 1.29 zitatumika kuwalipa fidia wakazi 724 wakiwamo wa Muhambwe mkoani Kigoma wanaotakiwa kupisha ujenzi wa barabara kutoka Kibondo…
2 September 2024, 17:15
Wanafunzi wawili wajeruhiwa kwa kipigo na mwalimu
Wakati Serikali na wadau mbali mbali wa haki za binadamu wakiendelea kupinga vitendo vya ukatili wa vipigo kwa watoto shuleni bado ukatili wa aina hiyo unaendelea kujitokeza siku hadi siku. Kutoka wilayani kasulu Emmanuel Kamangu na ripoti zaidi.
2 September 2024, 13:00
Jamii yatakiwa kuwalea watoto katika madili mema
Askofu mkuu wa Kanisa la Evangelical Methodist Church Tanzania (EMCT) lililopo kata ya Murusi wilayani Kasulu mkoani Kigoma Ngeze Mzimya ameitaka jamii kuwalea watoto wao katika maadili mema ili kujenga taifa lenye ustawi bora kwa vizazi vijavyo na kiuchumi kwa ujumla. Askofu Ngeze…
30 August 2024, 13:20
Rushwa ya ngono inavyowatesa wanawake ziwa Tanganyika
Wanawake wanaochakata mazao ya uvuvi katika Ziwa Tanganyika wilayani Uvinza mkoani Kigoma, wamelalamika kushamiri vitendo vya rushwa ya ngono vinavyofanywa na baadhi ya wavuvi kama njia ya kuwapatia mazao ya uvuvi ambapo wameomba kuwezeshwa mikopo ya uhakika, kuepusha athari ikiwemo…
30 August 2024, 10:57
Zaidi ya wanafunzi 2000 wakatiza masomo Kasulu
Zaidi ya wanafuzi 2000 katika shule za msingi Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wameshindwa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2023 kufuatia changamoto mbalimbali ikiwemo utoro. Hayo yamebainishwa na Mdhibiti mkuu ubora wa shule halmashauri ya Mji Kasulu Mwl, Sadock…
30 August 2024, 10:46
Hali ya majeruhi ajali ya treni Kigoma
Majeruhi wa ajali ya treni 73 waliopata ajali wakisafiri kutoka mkoani Kigoma kuelekea mikoa ya Tabora, Singida, Dodoma, Morogoro na Dar es Salaam wanaendelea kupatiwa huduma za matibabu bure chini ya serikali, katika hospitali za wilaya ya Uvinza na Maweni…
28 August 2024, 13:51
Vijana watakiwa kutunza mazingira Kasulu
Ili kudhibiti magonjwa ya mlipuko, halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma imeendelea kuhamasisha utunzaji wa mazingira kwa kufanya usafi huku ikiendelea kutoa elimu kwa wananchi waweze kuzingatia usafi wa mazingira. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Vijana kutoka taasisi ya…
27 August 2024, 13:38
Wenyeviti watakiwa kusimamia usafi wa mazingira Kasulu
Wenyeviti wa mitaa katika halmashauri ya mji wa Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kushirikiana na viongozi wa kata kuhamasisha usafi wa mazingira ili kukabiliana na magonjwa ya mlipuko. Katika zoezi la usafi ambalo limefanyika katika mtaa wa Sido kata ya Murubona…
27 August 2024, 13:18
Wananchi wapinga ujenzi wa daraja lisilo na ubora
Wananchi wa kijiji cha Kigogwe, kata ya Munzeze, Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, wameibua upinzani mkali dhidi ya ujenzi wa daraja linalojengwa na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) katika mto Luiche. Ripoti kamili na Emmanuel…