Joy FM

Waandishi waendesha ofisi walia na ujio wa akili mnemba

17 October 2024, 17:19

Taknolojia ya akili mnembe ikija kwa kasi hali inatajwa kuathiri ajira za watu, Picha na Vatcan News

Watumishi wa Umma katika kada ya Waandishi waendesha Ofisi mkoani Kigoma wamelalamikia baadhi ya wakuu wa idara na vitengo kushidwa kuthamini kazi zao huku wakiwa katika hatari ya kupoteza ajira kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Technolojia baada ya kazi zao kuanza kufanywa na Roboti hasa Mahakamani na maeneo mengine ya kutolea huduma za jamii.

Sauti ya Kadislaus Ezekiel mwandishi wa habari Redio Joy Fm