Joy FM

Walimu Kasulu watakiwa kulinda Wanafunzi dhidi ya Ukatili

16 October 2024, 15:33

Afisa elimu kata ya Titye Bw,Yoab Hinyula Picha na Emmanuel Kamangu

Walimu  katika kata ya titye wilayani kasulu wametakiwa kuzingatia miongozo ya utumishi wa umma ili kuhakikisha wanawalinda wanafunzi wao na vitendo vya ukatili.