Joy FM
Joy FM
1 May 2024, 13:29
Vitendo vya wizi na uharifu kwenye jamii wilayani kasulu vimeendelea kuumiza vichwa kwa viongozi huku wananchi wakiendelea kuumia kwa mali zao kuibiwa na wengine kuharisha maisha yao. Na Michael Mpunije – Kasulu Wananchi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kutoa taarifa…
1 May 2024, 13:06
Serikali imesema itaendelea kusimamia na kutoa kipaumbele kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo ili kuwafikishia huduma wananchi. Na James Jovin – Kibondo Halimashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma kupitia ruzuku ya serikali kuu imepokea fedha kiasi cha shilingi bilioni 2.7…
1 May 2024, 10:31
Vitendo vya ukatilii hasa kubakwa maeneo ya mialo mbalimbali mwambao wa ziwa tanganyika vimeendelea kuacha kovuna simanzi kwa wananwake wanaojishughulisha na uchakataji wa mazao ya samaki. Na Kadislaus Ezekiel – Kigoma Wanawake Wanaochakata Mazao ya Uvuvi Katika Ziwa Tanganyika Mkoani…
1 May 2024, 10:07
Vijana waliohitimu mafunzo ya kijeshi Katika kambi ya jeshi la kujenga taifa 821 KJ Bulombora iliyopo wilayani Kigoma Mkoani Kigoma wametakiwa kuwa wazalendo Katika kuilinda Nchi kama sehemu ya kiapo walichopewa wakati wa mafunzo hayo. Na Tryphone Odace – Kigoma…
30 April 2024, 07:22
Ili kuakabiliana na umasikini ambao umekuwa ukisumbua watumishi wa mungu, wameshauriwa kubuni na kuanzisha miradi ya maendeleo ili kuwasaidia kuinua uchumi wao. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wachungaji wa kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika mkoani Kigoma wameshauriwa kufanya…
29 April 2024, 14:52
Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali mkoani Kigoma zimesababisha maji kujaa kwenye mwalo na kuharibu miundombinu ya bandari ndogo ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji. Na Kadilsaus Ezekiel – Kigoma Wafanyabiashara wa mazao ya uvuvi na mbogamboga waliovamiwa na maji…
26 April 2024, 16:19
Wananchi wametakiwa kuendelea kuuenzi muungano kwa kutimiza wajibu na kutenda haki kama chachu ya kuhimiza maendeleo kwa watanzania. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna jenerali mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye amewataka…
26 April 2024, 12:12
Wadau wa maji Manispaa ya kigoma ujiji wameomba serikali kupitia mamlaka ya maji na usafi wa mazingira kuhakikisha inafikisha maji kwa wananchi ili kuondoa adha ya kutumia maji ya isima na mito. Na Lucas Hoha – Kigoma. Serikali imeondoa changamoto…
26 April 2024, 09:39
Matumizi ya nishati ya kupikia itasaidia kutunza mazingira yetu kwani kwa sasa mafuriko tunayoyaona ni matokeo ya uharibifu wa mazinira na misitu kwa kukata miti na misitu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kutumia nishati…
25 April 2024, 16:57
Ikiwa ni miaka 60 tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana, wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar wamefunguka kuelezea changamoto lakini pia umuhimu wa Muungano huo. Makala hii iliyoandaliwa na Filbert Gabriel inasomwa kwako na Timotheo Leonard wa Joy FM.
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.