Recent posts
11 July 2023, 10:54
DC kigoma amepiga maarufuku ramli chonganishi kwenye jamii
Serikali imesema itawachukulia hatua za kisheria yeyote atakaye jihusisha ama kusaidia shughuli za Rambaramba (Kamchape) wanaopiga ramli chonganishi na haitawaonea huruma. Na, Lucas Hoha Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Salum Kalli ameomba viongozi wa Dini pamoja viongozi wa Serikali za…
10 July 2023, 11:56
Wahitimu Kigoma watakiwa kufundisha maadili mema kwenye jamii
Suala la maadili kwenye jamii limeendelea kuwa changamoto ambapo wahitimu wa vyuo mbalimbali wametakiwa kuwa mfano kwa jamii na kuhimiza maadili ili kuwa na kizazi chenye maadili mazuri. Na Lucas Hoha. Wito umetolewa kwa wanafunzi wanaomaliza masomo katika kada mbalimbali…
7 July 2023, 10:32
Dkt Mpango: Serikali imeweka mazingira rafiki kwa wawekezaji
Wananchi wazawa wa Mkoa wa Kigoma wametakiwa kuwekeza katika miradi mbalimbali mkoani humo ili kukuza uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla. Na, Emmanuel Kamangu Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango amewataka watanzania kutumia fursa ya kufanya uwekezaji katika maeneo…
4 July 2023, 14:23
Mafuriko yakwamisha huduma ya elimu kwa wanafunzi Kigoma
Wananchi wa Mtaa wa Mgumile, kata ya Kagera, manispaa ya Kigoma Ujiji, wameomba serikali kuangalia namna ya kuokoa majengo ya shule ya msingi Mgumile ambayo yamezingirwa na maji ya ziwa Tanganyika na kupelekea miundombinu yake kuharibika.
4 July 2023, 08:59
Kigoma: Wapigwa faini milioni 4.4 na KUWASA kwa kujiunganishia maji
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji, KUWASA imewatoza faini ya shilingi milioni nne na laki nne watu wawili kwa kosa la kujiunganishia maji kinyume na taratibu. Na, Tryphone Odace. Mamlaka ya Maji safi na…
3 July 2023, 10:25
Kigoma: Mtoto achomwa moto mikono na mama yake kisa muwa
Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amechomwa moto mikononi na mama yake mzazi akimtuhumu kuiba muwa. Na, Hagai Ruyagila. Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Esther Damiani mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa kitongoji cha Uwanjani kata ya Mwandiga…