Recent posts
27 July 2023, 10:58
Mtoto aliyechomwa moto mikoni kwa kuiba muwa apata matibabu
Kufuatia mtoto wa miaka mitano kuchomwa moto mikono na mama yake mzazi Esther Damiani mnamo tarehe Juni 29 mwaka huu baada ya kuiba muwa, hatimaye mtoto huyo anaendelea vizuri kutokana na matibabu anayoendelea kupatiwa. Na, Hagai Ruyagila. Akizungumza na Radio…
27 July 2023, 09:10
Chongolo: CCM itaendelea kuisimamia serikali
Chama Cha Mapinduzi kimesema kitaendelea kuhakikisha kinaisimamia serikali katika utekelezaji wa masuala mbalimbali ya maendeleo ili kufikisha huduma bora kwa wananchi. Na, Tryphone Odace Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Daniel Chongolo amesema chama hicho kitaendelea kuisimamia Serikali Kuu…
21 July 2023, 12:02
Kigoma: Wananchi watakiwa kuacha shughuli karibu na hifadhi za barabara
Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kuacha kufanya shughuli za kibinadamu katika ya hifadhi za barabara Na, Josephine Kiravu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali Mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye amewataka wakazi wa Mkoani hapa kufuata sheria…
21 July 2023, 09:16
Aweso amwagiza DC Kibondo kumchukulia hatua mkandarasi
Mkandarasi anayetekeleza mradi wa uchimbaji wa visima vya maji Wilayani Kibondo ametakiwa kukamilisha mradi huo kwa haraka baada ya kutelekeza mradi huo kwa kipindi kirefu na kusababisha wananchi kukosa hudum ya maji. Na, Kadislaus Ezekiel Waziri wa maji Jumaa Aweso…
19 July 2023, 11:17
Waendesha pikipiki walia na mikataba kandamizi Kigoma
Shughuli ya uendeshaji wa pikipiki maarufu bodaboda kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa na mchango mkubwa kwa vijana kujipatia kipato kwa kusafirisha abiria huku wengi wao wakipewa pikipiki hizo kwa mikataba hali iayosababisha kutofikia malengo yao. Na,Hagai Ruyagila Vijana waendesha…
18 July 2023, 16:16
Watu 29 mbaroni kwa tuhuma za ramli chonganishi Mkoani Kigoma
Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limesema litaendelea kutoa elimu kwa jamii kuachana na vitendo vya ramli chonganishi ambavyo husababisha uvunjfu wa amani. Na, Josephine Kiravu Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma linawashikilia watuhumiwa 29 wakiwa na vifaa vya kufanyia ramli chonganishi…
18 July 2023, 11:23
Wananchi wametakiwa kununua vipodozi kwenye maduka yaliyoruhusiwa
Shirika la viwango Tanzania TBS limesema litaendelea kuwachukulia hatua wafanyabiashara wanaouza bidha zilizopigwa marufuku ili kuepusha matumizi ya vipodozi visivyokidhi viwango kutumika kwa wananchi. Na, Lucas Hoha Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kununua vipodozi kwenye maduka ambayo yameruhusiwa na wahakikishe kama…
16 July 2023, 14:02
Waziri Aweso akerwa na watumishi wa maji, washidwa kusimamia miradi.
Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso katika picha ya ukaguzi wa miradi ya maji Kasulu, picha na Tryphone Odace Watumishi wa idara za maji Mkoani Kigoma, watakiwa kusimamia miradi kulingana na fedha zinazotolewa na Serikali. NA, Kadisilaus Ezekiel. Waziri wa…
13 July 2023, 13:15
Aliyefariki miaka 29 iliyopita apatikana akiwa hai, akabidhiwa kwa ndugu Kibondo
Wananchi wilayani Kibondo mkoani Kigoma wametakiwa kutohusianisha tukio la kijana aliyefariki na kupatikana akiwa hai mkoani Tabora na imani za kishirikina. Na James Jovin Serikali wilayani Kibondo mkoani Kigoma imemkabidhi kijana Daniel Gastoni mwenye umri wa miaka 35 kwa ndugu…
13 July 2023, 11:58
Vijiji 8 Kigoma vyakabiliwa na ukosefu wa maji
Ukosefu wa maji katika baadhi ya vijiji vya halmashauri ya wilaya na mkoani Kigoma umetajwa kuendelea kuwatesa wananchi kwani hulazimika kutumia maji ya visima na mito yasiyokuwa safi na salama. Na, Kadislaus Ezekiel Wananchi wa vijiji vinane vya halmashauri ya…