Recent posts
4 October 2023, 11:01
Wadau wa elimu Kigoma watakiwa kusaidia kuboresha miundombinu
Serikali imeomba wadau wa elimu kuendelea kusaidia katika kuboresha miundombinu ya elimu Mkoani Kigoma. Na Hagai Ruyagila Wadau wa elimu mkoani Kigoma wametakiwa kuunga mkono juhudi za serikali katika kuboresha sekta ya elimu kwa kuchangia upatikanaji wa miundombinu bora kwa…
4 October 2023, 08:59
Watoto wenye umri chini ya miaka mitano kupatiwa vyeti vya kuzaliwa bure Kigoma
Wakazi wa mkoa wa Kigoma wamefurika katika viwanja vya mwanga manispaa ya Kigoma Ujiji, ili kusajili na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Na, Tryphone Odace Wazazi na Walezi wenye Watoto chini ya…
2 October 2023, 15:27
Mwili wa mtoto waopolewa ndani ya bwawa la Katosho
Wazazi na walezi mkoani Kigoma wametakiwa kuwa karibu na watoto wao ili kuhakikisha hawachezei sehemu hatarishi ikiwemo madimbwi na mabwawa. Na Josephine Kiravu Mwili wa mtoto wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 11 hadi 13 ambaye hajatambulika jina…
29 September 2023, 14:17
Madaktari 24 kuweka kambi mkoani Kigoma
Wananchi zaidi ya 3000 mkoani Kigoma wanatarajiwa kupatiwa matibabu kutoka kwa madaktari bingwa wanaotarajia kuweka kambi hospitalini hapo. Na Josephine Kiravu Zaidi ya Madaktari bingwa 12 wanatarajia kuweka kambi Mkoani kigoma kwa muda wa siku tano kwa lengo la kutoa…
28 September 2023, 09:32
Mkandarasi aagizwa kuongeza kasi ujenzi barabara ya Uvinza
Serikali imesema mkandarasi anayejenga barabara ya Ilunde – Malagarasi Uvinza kuwa amekiuka makubaliano ya mkataba wa kukamilisha na kukabidhi barabara ya ya Ilunde Uvinza Mwezi oktoba mwaka huu wa 2023. Na, Kadislaus Ezekiel. Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya…
27 September 2023, 12:20
Halmashauri ya Kasulu mji yafikia lengo la utoaji wa chanjo ya polio
Halmashauri ya mji Kasulu mkoani kigoma imefanikiwa kuvuka lengo kwa asilimia 128 katika utoaji wa chanjo ya polio ya matone kwa watoto wenye umri chini ya miaka 8 iliyoendeshwa kwa muda wa siku nne. Hayo yamebainishwa na Mratibu wa Chanjo halmashauri hiyo Itumbi…
26 September 2023, 12:21
Shule ya msingi Busunzu B yakabiliwa na uhaba wa madawati 400
Benki ya NMB kanda ya magharibi imetoa msaada wa madawati 50 katika shule ya msingi Busunzu Biliyopo Wilayani kibondo Mkoani Kigoma ikiwa ni jitihada za kukabiliana na uhaba wa madawati katika shule hiyo. Na James Jovin Shule ya msingi Busunzu…
26 September 2023, 11:41
Waziri Ndalichako agawa mitungi 400 ya gesi Kasulu
Uamzi wa serikali kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi ni miongoni mwa mikakati ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira kwa kukata kuni za kupikia. Na, Hagai Ruyagila Jumla ya mitungi ya gesi 400 yenye thamani ya shilingi milioni 30 imetolewa…
14 September 2023, 18:27
Mkuu wa wilaya Buhigwe awataka wanaume kuacha kunyonya maziwa ya mama
Baadhi ya Wanaume Katika Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, wametuhumiwa Kunyonya Maziwa ya Wenza wao wa Ndoa baada ya kujifungua, hali ambayo imechangia watoto kukosa maziwa ya kutosha. Na, Tryphone Odace Mkuu Wa Wilaya ya Buhigwe Kanali Michael…
14 September 2023, 16:58
Madiwani Kibondo walia na wafanyabiashara wanaoficha mafuta
Wakati wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto Nchi wakiendelea kuteseka na uhaba wa mafuta kwenye vituo vya mafuta huko Kibondo madiwa wameeleza kuwa wanaoficha mafuta ni uhujumu uchumi. Na, James Jovin Madiwani katika halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani…