Recent posts
1 November 2023, 15:32
Serikali kuendelea kutatua changamoto za wafanyabiashara Kigoma
Wafanyabiashara wameomba serikali kuweka mazingira rafiki ili waweze kufanya vizuri katika kufanya baishara ndani na nje ya nchi. Na Lucas Hoha Serikali imewahakikishia wafanyabiashara wa mkoa wa Kigoma kuwa inaendelea kutatua changamoto na vikwazo vinavyowafanya kushindwa kufanya biashara ikiwemo kuboresha…
25 October 2023, 16:07
Sababu ya kutoa chanjo ya polio watoto chini ya miaka 8 yabainishwa
Zaidi ya watoto Laki tatu na elfu hamsini wenye umri chini ya miaka 8 Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya polio awamu ya pili ili kuwakinga na ugonjwa wa polio. Na, Hagai Ruyagila Hayo yamebainishwa na katibu…
25 October 2023, 13:54
Miundombinu mibovu, uhaba wa vifaa vyaitesa shule ya msingi Rutale
Na, Lucas Hoha Licha ya wadau wa maendeleo na serikali kufanya jitihada za kupunguza uhaba wa miundombinu ya madawati na matundu ya vyoo katika shule ya msingi Rutale iliyopo kata ya Kipampa manispaa ya Kigoma Ujiji, bado shule hiyo inakabiliwa…
25 October 2023, 09:11
Zaidi ya 100% ya watoto wapata chanjo ya polio Kigoma
Serikali kupitia idara ya afya Mkoa wa Kigoma imesema imefanikiwa kutoa chanjo ya polio kwa zaidi ya asiliamia 100 kwa watoto. Na, Josephine Kiravu Zaidi ya asilimia 100 ya watoto walio chini ya miaka minane wamepata chanjo ya polio katika…
24 October 2023, 21:20
CCM Kigoma kupitia UWT yalia na vitendo vya ukatili
CHAMA cha Mapinduzi CCM, kupitia umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Kigoma, kimeraani na kukemea vitendo vya ukatili vinavyofanyika kwa watoto na wanawake, nakuomba jamii kuungana pamoja kukemea vitendo hivyo na kuripoti katika mamlaka husika ili kuchukua hatua mara…
23 October 2023, 12:56
Msichana wa miaka 21 afanyiwa ukatili Bitale Kigoma
Na Tryphone Odace Wasichana wawili Katika kijiji cha Bitale, halmashauri ya wilaya Kigoma wameiomba serikali kuwachukulia hatua za kisheria vijana watatu ambao wamewafanyia ukatilii kwa kuwabaka kwa nyakati tofauti katika kijiji hicho, huku mmoja wao akiwa amebakwa na wanaume watatu kwa wakati…
23 October 2023, 12:40
Wazazi watakiwa kuwa karibu na watoto, kuwalinda na ukatili
Ili kuhakikisha vitendo vya ukatili vinaisha kwenye jamii, wazazi na walezi na jamii kwa ujumla wametakiwa kuwa karibu na watoto wao ili kuwakinga na vitendo vya ukatili. Na Tryphone Odace Wazazi na walezi manispaa ya Kigoma Ujiji, wametakiwa kuwa karibu…
23 October 2023, 11:30
DC Kigoma awataka wananchi kufanya mazoezi kujikinga na maradhi
Mazoezi yanatajwa kusaidia kujenga afya na kukinga miili dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza kwenye jamii. Na, Lucas Hoha. Mkuu wa wilaya ya Kigoma Salum Kalli amewaasa wananchi wa wilaya ya Kigoma kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi ya kukimbia ili kujikinga na…
20 October 2023, 15:41
Wafanyabiashara Kigoma watakiwa kufuata kanuni na sheria za BoT
Wafanyabiashara mkoani Kigoma wametakiwa kufuata sheria za kubadilisha fedha za kigeni ili kuepuka kuingia kwenye migogoro na kuhujumu uchumi. Na, Lucas Hoha. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma ACP Filemon Makungu amewataka wafanyabiashara wanaofanya biashara ya kubadilishana fedha za…
16 October 2023, 18:03
Serikali, FAO wazindua kampeni ya upandaji miti Kigoma
Ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira nchini, serikali kwa kushirikiana na Shirika la Chakula Duniani FAO wamezindua zoezi la upandaji miti ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira na vyanzo vya maji. Na, Tryphone Odace Shirika la Chakula na Kilimo la…