Recent posts
29 November 2023, 09:57
Serikali kutumia bilioni 40 kukarabati meli mbili ziwa Tanganyika
Serikali inatarajia kutumia jumla ya Shilingi Bilioni 40 kukarabati meli kongwe ya abiria na mizigo ya MV Liemba pamoja na meli ya mafuta ya MT Sangara yenye uwezo wa kubeba lita laki nne za mafuta ambayo matengenezo yake tayari yameanza. Akizungumza baada kutembelea na…
27 November 2023, 15:33
Wajasiriamali mkoa wa Kigoma kujulikana kimataifa
Wajasiriamali wanaofanya shughuli za uokaji bidhaa manispaa ya Kigoma Ujiji wamekutana kwa ajili ya mafunzo maalum yaliyoandaliwa na Shirika la viwango Tanzania TBS yenye lengo la kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wao. Na, Josephine Kiravu. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa…
22 November 2023, 10:17
Watoto wa miaka mitano hadi 14 kupatiwa dawa za minyoo na kichocho kigoma
Imeelezwa kuwa jamii kushindwa kuzingatia usafi na kuwa na vyoo bora ni miongoni mwa sababu zinazosababisha kuendelea kusumbuliwa na magonjwa ya minyoo na kichocho. Na Tryphone Odace Jumla ya Watoto laki tano na tano elfu mia nane na arobaini wenye…
20 November 2023, 14:24
Jamii Kigoma yashauriwa kushirikiana na serikali kukabiliana na uharibifu wa ma…
Serikali imesema itaendelea kuthamini mchango wa taasisi ya Jane Goodall katika kuhakikisha inatekeleza shughuli zake za utoaji wa elimu ya mazingira na kilimo kuitia ufadhili wa shirika la Kimarekani la USAID. Na Tryphone Odace Wadau wa maendeleo mkoani Kigoma wameshauriwa…
20 November 2023, 13:55
Uchumi wa wavuvi Kigoma kuchochewa na vifaa vya kisasa walivyokabidhiwa
Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli za uvuvi ndani ya Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma wanatarajia kujikwamua kiuchumi baada ya serikali kuwawezesha zana za kisasa za uvuvi ikiwemo boti 9 na vifaa vyake zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 500. Na,…
20 November 2023, 08:57
leo hii katika magazeti 20/11/2023
16 November 2023, 17:03
Familia ya kijana aliyefariki Kakonko yaomba uchunguzi ufanyike
Familia ya Kijana Enock Elias aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha yaomba uchunguzi dhidi ya waliohusika na mauaji hayo. Na Kadislaus Ezekiel Familia ya kijana Enock Elias Sabakwishi, mkazi wa kijiji cha Ilabiro kata ya Katanga wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma,…
8 November 2023, 17:53
RUWASA yatatua kero ya maji Buhigwe
Wizara ya Maji Kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wamefanikiwa kufikia asilimia 72.2 ya usambazaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi, na kupunguza kwa kiwango kikubwa cha ukosefu wa…
8 November 2023, 13:39
Takukuru yabaini mapungufu kwenye miradi minne ya maendeleo Kigoma
Vitendo vya rushwa vimeendelea kushamiri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchi hali inayochangia baadhi ya miradi hiyo kushindwa kukamilika kwa wakati. Na, Lucas Hoha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru mkoa wa Kigoma imebaini mapungufu…
6 November 2023, 14:33
Wakristo watakiwa kutumia maandiko ya biblia kukemea ukatili kwenye jamii
Katika kukabiliana na vitendo vya ukatili kwenye jamii wanachama wa chama cha Biblia tawi la kigoma wamesema chama hicho kimekuwa saada kwa kutoa elimu kwa jamii ili kuwa na hofu ya mungu. Na, Lucas Hoha Wakiristo mkoani Kigoma wameshauriwa kuzingatia…