Recent posts
3 January 2024, 14:11
Kibondo na mkakati wa kuongoza kwa usafi wa mazingira kitaifa
Halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma imeanzisha mkakati wa kuhakikisha usafi wa mazingira unaimarishwa ili kujiweka katika nafasi nzuri za ushindani wa usafi wa mazingira kitaifa hali itakayosaidia kuepuka magonjwa yatokanayo na uchafu ikiwemo kipindu pindu. Hayo yamebainishwa na afisa…
3 January 2024, 12:30
Mashirika, wananchi watakiwa kuwakumbuka watoto yatima Kigoma
Wito umetolewa kwa mashirika na wananchi wa mkoani Kigoma kujitokeza na kuchangia vitu mbalimbali kwa ajili ya kuwasaidia watoto wanaolelewa na kituo cha malezi ya watoto Matyazo. Na Lucas Hoha Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Joy…
1 January 2024, 14:03
Madereva watakiwa kuongeza umakini msimu huu wa mvua zinazoendelea kunyesha
Madereva wa mabasi yaendayo mikoani wametakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani hasa kipindi hiki cha mvua ili kudhibiti athari zinazoweza kujitokeza ikiwemo ajali. Na Josephine Kiravu. Akizungumza na madereva Mkuu wa dawati la elimu usalama barabarani Nchini, ACP Michael Dereri…
22 December 2023, 17:03
Wazazi, walezi watakiwa kuimarisha ulinzi kwa watoto kipindi cha sikukuu
Na Orida Sayon Wito umetolewa kwa wazazi na walezi mkoani Kigoma kuimarisha ulinzi na usalama kwa watoto katika kipindi hiki cha sikukuu za Kristmas na Mwaka Mpya ili kuwalinda dhidi ya vitendo vinavyowaweka katika mazingira hatarishi. Wito huo umetolewa na…
18 December 2023, 15:46
Chama cha ushirika Kasulu chawachagua viongozi wapya
Chama cha Ushirika cha Umoja ni imani wilayani Kasulu mkoani Kigoma kimechagua uongozi mpya utakaodumu kwa miaka mitatu ukiongozwa na mwenyekiti wake Alfa Obed aliyechaguliwa kwa kura 106. Na, Hagai Luyagila Akizungumza na vyombo vya habari Afisa ushirika wa halmashauri…
18 December 2023, 13:55
wananchi Kigoma walalamikia TARURA kuelekeza maji ya mitaro mingi kwenye makazi…
Wananchi wa Mtaa wa Katubuka maeneo ya Bwawani Kata ya Katubuka Manispaa ya Kigoma Ujiji wamelalamikia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini TARURA kuelekeza mitaro mingi ya maji kwenye mtaa huo na kupelekea mtaa huo kujaa maji kipindi cha…
15 December 2023, 10:07
Milioni 430 zaondoa kero ya maji kata ya Businde Kigoma
Wakazi wa kata ya Businde Manispaa ya Kigoma Ujiji wameondokana na adha ya ukosefu wa maji safi na salama baada ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa mazingira (KUWASA) kukamilisha mradi wa bomba la maji lenye urefu wa kilometa…
14 December 2023, 16:54
Madereva wafikishwa mahakamani na kufutiwa leseni Kigoma
Madereva wa vyombo vya moto Mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani hasa kipindi hiki cha mwisho wa Mwaka ili kuzuia ajali ambazo zinaweza kujitokeza. Na Josephine Kiravu Akizungumza na wanahabari hivi Karibuni Kamanda wa polisi Mkoa wa Kigoma,…
14 December 2023, 16:19
Wafanyabiashara soko la Gungu walia na ukosefu wa miundombinu bora
Serikali imeombwa kukarabati miundombinu ya barabara na mitaro inayopita katika soko la Gungu Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma. Na Orida Sayon. Wafanyabiashara wa soko la Gungu lililoko kata ya gungu maniapaa ya kigoma ujiji wameitaka serikali kuboresha miundombinu ya…
11 December 2023, 17:08
Ahukumiwa miaka 105 kwa makosa ya ulawiti na ubakaji uvinza
Wahukumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji Kigoma. Na Josephine Kiravu. Katika kuendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto, Mahakama ya wilaya Uvinza imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 105 Wangala Maganga baada ya kutiwa…