Recent posts
8 January 2024, 17:15
Ndejembi aagiza kuchukuliwa hatua za kinidhamu wahusika wa mradi Kigoma
Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Deogratius Ndejembi amemuagiza Afisa Elimu Sekondari Mkoa wa Kigoma na Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma kutoa maelezo ya maandishi kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Adolf Nduguru ya kwanini walitoa taarifa ya kukamilika kwa ujenzi…
8 January 2024, 16:43
Wazazi kushirikiana tiba ya upendo kwa mzazi mmoja
Baadhi ya wazazi wakiume wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kushirikiana na wazazi wa kike kuzilea familia zao na kuacha kuzitelekeza hali inayopelekea baadhi ya watoto kuwa na mapenzi na mzazi mmoja. Rai hiyo imetolewa na Mchungaji kiongozi wa kanisa la…
8 January 2024, 14:20
Viongozi CCM watakiwa kuwekeza kwa watoto
Viongozi wa umoja wa UVCCM Kata ya Gungu Manispaa ya Kigoma Ujiji wameomba viongozi wa chama hicho Mkoa wa Kigoma pamoja na wananchi kuwekeza katika malezi ya watoto kwa kuwalea katika misingi ya uadilifu ili baadaye waweze kulitumikia taifa na…
5 January 2024, 17:38
Mafuriko yazihamisha kaya 17 wilayani Kasulu
Takribani Kaya 17 katika mtaa wa Kigungani Kata ya Mwilanvya Halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma zimekumbwa na mafuriko kufuatia mvua kubwa iliyonyesha hapo jana na kupelekea baadhi ya kaya kuhama. Na, Hagai Ruyagila Mvua hiyo iliyodumu kwa zaidi ya…
5 January 2024, 17:02
Kituo cha afya kipya chazinduliwa halmashauri ya wilaya Kibondo
Halmashauri ya wilaya ya Kibondo imezindua kituo kipya cha afya kilichopo katika kata ya Kibondo mjini kilichogharimu shilingi milioni 500 mpaka kukamilika kwake ikiwa ni mkakati wa kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali ya wilaya na kuboresha huduma za afya.…
5 January 2024, 16:43
Watoto zaidi ya 600 waripotiwa kufariki wakati wa kuzaliwa Kigoma
Zaidi ya watoto wachanga 600 wamefariki wakati wa kuzaliwa mkoani Kigoma huku akina mama 76 wakipoteza maisha wakati wa kujifungua katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2023. Na, Josephine Kiravu. Hakuna mama anaebeba ujauzito kwa kipindi cha miezi 9 halafu matarajio…
5 January 2024, 09:39
Viongozi wa kata, vijiji watakiwa kujadili vipaumbele na wananchi Buhigwe
Viongozi wa vijiji na kata wilayani Buhigwe mkoani Kigoma wametakiwa kuitisha mikutano na wananchi ili kujadili vipaumbele vya miradi ya maendeleo inayotakiwa kujengwa katika maeneo yao. Na, Michael Mpunije Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Buhigwe…
4 January 2024, 15:40
Polisi kushirikiana na wasaidizi wa kisheria Kibondo
Mkuu wa wilaya ya Kibondo mkoani kigoma Kanali Agrey Magwaza amelitaka Jeshi la Polisi wilayani Humo kwa kushirikiana na wasaidizi wa Kisheria , kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Haki ya Mtuhumiwa anapokamatwa ili kuondoa mkanganyiko na mitazamo waliyonayo wananchi juu…
4 January 2024, 15:02
Wazazi kuchukuliwa hatua kwa kushindwa kumpeleka mtoto shule Kasulu
Wazazi na walezi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwapelekea watoto wao shule ili waweze kupata elimu itakayo wasaidia katika maisha yao ya kila siku. Akizungumza na vyombo vya habari mjini Kasulu Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wilayani Kasulu Selemani Malumbo…
4 January 2024, 13:51
Kaya zaidi ya 300 hazina mahali pa kuishi Uvinza
Wananchi kutoka katika kaya zaidi ya 300 katika kitongoji cha Kazaroho Kijiji cha Chakuru wilaya ya Uvinza hazina mahali pa kuishi baada ya serikali kuwaondoa katika maeneo waliyokuwa wakiishi tangu mwaka 2021 ambayo ni sehemu ya ya ranchi ya Uvinza.…