Recent posts
24 January 2024, 16:02
Wananchi walia na ukosefu wa maji, watumia maji ya mito na visima
Baadhi ya Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani Kigoma wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kutokana na huduma hiyo kushindwa kuwafikia kwa zaidi ya miaka 60 na kuwalazimu kutumia maji machafu kutoka…
22 January 2024, 12:30
Michango mingi yawaondoa walimu CWT
Baadhi ya waalimu wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameulalamikia uongozi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kuwakata michango mingi hali inayopelekea baadhi ya waaalimu kijiondoa katika chama hicho. Akizungumza katika kikao cha wadau Elimu Mkuu wa shule ya sekondari Ruchugi…
22 January 2024, 09:49
Halmashauri ya wilaya Kasulu yakusanya zaidi ya bilioni 19
Madiwani wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kusimamia na kuibua vyanzo vya mapato ili kusaidia kuongeza mapato ya halmashauri hiyo. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekusanya zaidi ya shillingi billion 19 ambayo ni…
22 January 2024, 09:20
TRA Kasulu yashindwa kufikia malengo
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA wilaya ya Kasulu mkoani kigoma imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji mapato katika kipindi cha mwezi julai hadi Desemba 2023 ikiwa ni nusu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Na, Hagai Ruyagila Akitoa taarifa katika…
19 January 2024, 13:04
Zaidi ya watoto 600 wafariki Januari hadi Desemba 2023 Kigoma
Zaidi ya watoto 600 wamefariki wakati wa kuzaliwa Mkoani Kigoma huku akina mama 76 wakipoteza maisha wakati wa kujifungua katika kipindi cha januari hadi disemba 2023. Josephine Kiravu anasimulia taarifa ifuatayo.
19 January 2024, 12:51
Binti wa miaka 15 abakwa na mjomba wake Kigoma
Binti mmoja mwenye umri wa miaka 15 ambaye ni mhitimu wa elimu ya msingi mwaka jana amekutana na madhira ya kubakwa na mjomba wake ambaye ni mdogo wa mama yake alipokwenda kumsalimia. Na, Josephine Kiravu
18 January 2024, 17:03
Mkuu wa wilaya Kasulu ainyoshea kidole Tanesco
Mkuu wa wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amemtaka meneja wa tanesco kuhakikisha wilaya inakuwa na umeme wa uhakika kutokana na ongezeko la viwanda vidogo vodogo ambavyo haviwezi kuendesha shughuli zake bila nishati hiyo. Kanal Mwakisu amesema hayo…
18 January 2024, 14:33
Waziri Ndalichako atoa wito kuwaandikisha shule watoto wenye ulemavu
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu Nchini Tanzania Profesa Joyce Ndalichako amewataka wazazi na walezi Wilayani Kasulu mkoani Kigoma kuwaandikisha shule watoto wao wenye ulemavu ili waweze kupatiwa elimu itakayo wasaidia kutimiza ndoto…
17 January 2024, 10:22
Msichana miaka 15 adaiwa kubakwa na mjomba wake Kigoma
Binti mmoja mwenye umri wa miaka 15 ambaye ni mhitimu wa elimu ya msingi mwaka jana amekutana na madhira ya kubakwa na mjomba wake ambaye ni mdogo wa mama yake alipokwenda kumsalimia. Na, Josephine Kiravu Ni binti Zulekha Hussein sio…
17 January 2024, 09:54
Hatua kali kuchukuliwa watoto kutoripoti shuleni
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanal Isaac Mwakisu amewataka Wazazi na walezi ambao watoto wao hawajaripoti shule wahakikishe wanakwenda shule kabla ya hatua kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Na Hagai Luyagila Kanali mwakisu amesema mahudhurio ya wanafunzi shuleni bado…