Joy FM

Recent posts

10 July 2023, 11:56

Wahitimu Kigoma watakiwa kufundisha maadili mema kwenye jamii

Suala la maadili kwenye jamii limeendelea kuwa changamoto ambapo wahitimu wa vyuo mbalimbali wametakiwa kuwa mfano kwa jamii na kuhimiza maadili ili kuwa na kizazi chenye maadili mazuri. Na Lucas Hoha. Wito umetolewa kwa wanafunzi wanaomaliza masomo katika kada mbalimbali…

7 July 2023, 10:32

Dkt Mpango: Serikali imeweka mazingira rafiki kwa wawekezaji

Wananchi wazawa wa Mkoa wa Kigoma wametakiwa kuwekeza katika miradi mbalimbali mkoani humo ili kukuza uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla. Na, Emmanuel Kamangu Makamu wa Rais, Dkt Philip Mpango amewataka watanzania kutumia fursa ya kufanya uwekezaji katika maeneo…

4 July 2023, 14:23

Mafuriko yakwamisha huduma ya elimu kwa wanafunzi Kigoma

Wananchi wa Mtaa wa Mgumile, kata ya Kagera, manispaa ya Kigoma Ujiji, wameomba serikali kuangalia namna ya kuokoa majengo ya shule ya msingi Mgumile ambayo yamezingirwa na maji ya ziwa Tanganyika na kupelekea miundombinu yake kuharibika.

3 July 2023, 10:25

Kigoma: Mtoto achomwa moto mikono na mama yake kisa muwa

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano amechomwa moto mikononi na mama yake mzazi akimtuhumu kuiba muwa. Na, Hagai Ruyagila. Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Esther Damiani mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa kitongoji cha Uwanjani kata ya Mwandiga…