Recent posts
21 February 2024, 16:28
Jeshi la polisi limekamata siraha mbili zilizotelekezwa buhigwe
Watu wasiojulikana wametelekeza siraha mbili katika kijiji cha Kibuye Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma Na, Lucas Hoha Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kukamata vitu mbalimbali ikiwemo silaha AK47 moja ikiwa na Magazine yenye risasi 22 na Chinese Pisto moja ikiwa…
21 February 2024, 13:07
Profesa Ndalichako kuifanya sekta ya elimu kuwa kipaumbele Kasulu
Waziri ofisi ya Waziri Mkuu, ajira, vijana na wenye ulemavu Pro. Joyce Ndalichako amesema ataendelea kuhakikisha sekta ya elimu katika jimbo la kasulu mjini inapewa kipaumbele. Profesa Ndalichko amesema hayo wakati akigawa viti mwendo na fimbo Kwa walemavu, pamoja na magari…
21 February 2024, 12:07
Kasulu: Chama cha wasioona waomba kushirikishwa kwenye maamuzi
Uongozi wa chama cha wasioona wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameomba viongozi ngazi ya halmashauri kujenga tabia ya kuwashirikisha katika mambo mbalimbali ili kutoa maoni juu ya maendeleo yao na taifa kwa ujumla. Emmanuel Kamangu anaripoti zaidi.
20 February 2024, 11:25
Idadi ya wanafunzi walioripoti shule Kasulu hairidhishi
Tangu shule zifunguliwe januari 8 mwaka 2024 takwimu zinaonyesha wanafunzi walio wengi hawajaripoti kuanza masomo ya kidato cha kwanza. Na Michael Mpunije Idadi ya wanafunzi walioripoti shuleni kuanza kidato cha kwanza tangu shule zilipofunguliwa januari 8 mwaka huu inatajwa kuwa…
16 February 2024, 15:31
uwepo wa masoko ya uhakika kutatua changamoto za wakulima
Wakulima Katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, wameiomba Serikali kusaidia upatikanaji wa soko la uhakika la kuuza mazao ya mahindi na maharage, kufuatia ongezeko kubwa la uzalishaji wa mazao hayo, ikiwa ni baada ya kupatiwa mbinu za uzalishaji…
14 February 2024, 11:47
Watoto 61,545 kupatiwa chanjo ya surua rubella Kibondo
Watoto kuanza kupatiwa chanjo ya surua na rubela ikiwa ni mkakati wa serikali wa kuhakikisha wanadhibiti ugonjwa huo kwa watoto nchini. Na James Jovin Wizara ya afya imelenga kutoa chanjo ya Surua Rubella kwa watoto wapatao 61,545 wenye umri chini…
13 February 2024, 11:36
Makala: Redio inavyomkomboa mwananchi Kigoma
Katika kuangazia siku ya redio duniani wananchi na wadau mbalimbali wamehusika katika kuzungumzia umuhimu wa redio katika jamii. Ikumbukwe kuwa kauli mbiu mwaka 2024 ni ”Redio: Karne ya kufahamisha, kuburudisha na kuelimisha” ”Inaangazia mambo mengi ya zamani, yanayofaa ya sasa…
13 February 2024, 10:54
Watoto zaidi ya laki 4 kupatiwa chanjo ya surua, rubella
Zaidi ya watoto laki nne na elfu themanini na sita mia saba sabini na mbili wenye umri wa kuanzia miezi 9-59 Mkoani Kigoma wanatarajia kupatiwa chanjo ya Surua Rubella kuanzia Feb 15-18 mwaka huu kwenye vituo vya afya na zahanati…
12 February 2024, 15:12
Maji ya mito yatajwa chanzo kikuu cha magonjwa ya mlipuko
Jamii Mkoani Kigoma imetakiwa kuzingatia usafi wa mazingira ili kujilinda na magonjwa ya mlipuko ambayo yamekuwa yakiwakumba baadhi ya wakazi wa mkoa huu katika baadhi ya maeneo ikiwemo kibirizi, Kalalangabo na Gungu lakini na wilaya ya Uvinza ambapo watu 74…
9 February 2024, 13:56
Wanafunzi 600 hawajaripoti shule wilayani kibondo
Ofis ya Eliu wilayani Kibondo imeanza msako wa kuwatafuta wanafunzi waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza na hawajaripoti shuleni mpaka sasa. Na, James Jovin Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imeanza msako wa wanafunzo wote ambao bado hawajajiandikisha kuanza masomo…