Recent posts
29 February 2024, 13:06
Wananchi walia na ubovu wa miundombinu ya barabara kigoma
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha uharibifu wa miundombinu ya barabara hali ambayo imewalazimu wananchi kupaza sauti kwa serikali kuwasaidia kukarabati barabara kwenye maeneo yao. Na, Orida Sayon Wananchi wa Kata ya Kalinzi Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani…
28 February 2024, 09:45
kamchape wahatarisha usalama Kasulu
Kufuatia uwepo wa migogoro ya ardhi na suala la ramli chonganishi inayofanywa na watu wanaojiita Kamchape katika kata ya Mganza iliyopo halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma imepelekea suala la ulinzi na usalama kuwa changamoto katani humo. Afisa mtendaji wa…
28 February 2024, 08:58
Vyama vya siasa kushirikishwa vyanzo vipya vya mapato Kasulu
Watendaji wa kata zilizopo ndani ya halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwashirikisha madiwani na viongozi wa vyama vya siasa pindi wanapoanzisha vyanzo vipya vya mapato katika kata zao. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani…
27 February 2024, 16:47
Bilioni 52 zatekeleza miradi ya maendeleo kibondo
Serikali kwa kipindi cha miaka mitatu Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma imetekeleza miradi ya zaidi ya shilingi bilioni 52 na kuleta manufaa kwa wananchi. Na, James Jovin Zaidi ya shilingi bilioni 52 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika wilaya…
26 February 2024, 13:26
Bajeti iliyopitishwa na madiwani kuchochea maendeleo ya mji kasulu
Baraza la Madiwani wa halmshauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma limepitisha mapendekezo ya bajeti ya shilingi bilioni 33.3 inayotokana na mapato ya ndani ya halmashauri Kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Hayo yamebainishwa katika kikao…
23 February 2024, 16:03
KUWASA yabaini michezo michafu kwenye mita za maji
Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji KUWASA imekemea tabia ya baadhi ya wananchi wanaoharibu miundombinu ya maji kwa kukata mabomba ya maji na wengine kuiba mita za maji. Na, Lucas Hoha Akizungumza na Joy…
23 February 2024, 15:37
Wananchi waipongeza serikali maboresho huduma za afya Kasulu
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusogeza huduma za afya karibu na wananchi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kwa kuongeza idadi ya zahanati, vituo vya Alafya na kuboresha hospital ya wilaya ya Kasulu Mlimani kuhakikisha jamii inapata…
23 February 2024, 12:16
Wananchi watakiwa kushiriki mapambano dhidi ya malaria Kibondo
Wananchi wilayani Kibondo mkoani Kigoma kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria ambao umekuwa ukisababisha vifo kwenye jamii. Na, James Jovin. Shirika lisilo la kiserikali SADERA kwa kushirikiana na serikali limefanya ziara katika vijiji kumi wilayani Kibondo mkoani…
22 February 2024, 16:11
Wakuu wa mikoa kuwachukulia hatua wanaohujumu upatikanaji wa sukari
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa yote nchini kusimamia kwa makini usambazaji wa sukari na kuwachukulia hatua wafanyabiashara wote wanaohujumu upatikanaji wake. Waziri Mchengerwa, ametoa agizo…
22 February 2024, 09:53
Kamati za maafa Kigoma, kivu na Tanganyika zakutana kuweka mikakati
Kamati za Maafa Mkoa wa Kigoma pamoja na mikoa ya Kivu Kusini na Tanganyika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimekutana ili kubadilishana mbinu, kujadili na kuweka mikakati ya pamoja yenye lengo la kukabiliana na majanga katika ukanda huo. Akifungua Mkutano…