Recent posts
27 March 2024, 14:49
Wananchi watakiwa kutokuwa sehemu ya uvunjifu wa amani Kigoma
Wakazi wa kata ya Mahembe halmashauri ya wilaya ya Kigoma wamepatiwa elimu ya namna ya kulinda amani iliyopo huku wakitakiwa kushirikiana na vyombo vya usalama katika kufichua wahalifu ambao wamekuwa chanzo cha uvunjifu wa amani. Na, Josephine Kiravu.Awali akizungumza kwenye…
26 March 2024, 15:38
Wananchi wafurahia utekelezaji wa miradi ya elimu Kakonko
Wakazi wa Kata ya Kanyonza katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, wameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kujenga shule ya sekondari ya wasichana ya bweni na ambayo itatoa fursa kwa mabinti…
26 March 2024, 09:06
Kamchape yawa tishio kwenye jamii Kigoma
Jamii wilayani Kasulu mkoani Kigoma imeaswa kupinga na kukemea huduma zinazotolewa na wapiga ramli chonganishi maarufu kwa jina la Kamchape ama lambalamba kwani wanasababisha kuvuruga amani hali inayosababisha madhara makubwa katika wananchi. hii hapa ni ripoti yake Hagai Ruyagila
25 March 2024, 15:39
Shule za msingi zalia na miundombinu ya ufundishaji na ujifunzaji
Shule za Msingi Wilayani Kibondo, zimeomba Serikali, Mashirika ya Kuhudumia Wakimbizi pamoja na Wadau wa Elimu, Kusaidia ufanisi wa mazingira rafiki ya Ufundishaji na Ujifunzaji. Kutoka Wilayani Kibondo Mwanahabari Wetu Kadisilaus Ezekiel Anaripoti.
21 March 2024, 08:59
EWAKI yatoa bima za afya kwa kaya 30 za wazee Kigoma
Jumla ya kaya 30 za wazee wenye mahitaji maalum katika kata ya Murufyiti halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma zimepatiwa msaada wa bima za afya ICHF zilizoboreshwa kutoka shirika la Endeleza Wazee Kigoma (EWAKI) ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za…
20 March 2024, 15:18
Prof. Ndalichako alipa deni kwa wananchi Kasulu
Waziri ofisi ya waziri mkuu kazi , vijana , ajira na wenye ulemavu prof Joyce ndalichako amezindua magati matano ya maji katika mtaa wa nyachijima kata ya kigondo halmashauri ya mji wa kasulu ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha serikali inamtua…
20 March 2024, 09:13
“mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya ukatili”
Serikali ya Tanzani imeshauriwa kuendelea kutoa elimu ya ukatili wa kijinsia katika jamii ili kupunguza na kutokomeza vitendo vya ukatili hali itakayosaidia kujua usawa wa mwanamke na mwanaume ndani ya jamii. Hayo yameelezwa na Katibu Mtendaji wa Kanisa la Anglikana…
19 March 2024, 10:02
Shule ya wasichana Mkugwa yakabiliwa na upungufu wa nyumba za walimu, mabweni
Shule ya Sekondari ya wasichana Mkugwa iliyoko Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma inakabiliwa na changamoto mbali mbali ikiwemo upungufu wa nyumba za walimu, mabweni na madarasa hali inayozorotesha kiwango cha taaluma shuleni hapo. Hayo yamebainishwa na mkuu wa shule hiyo mwalimu…
14 March 2024, 10:20
Vibao vya anuani za makazi vyageuzwa vyuma chakavu Kigoma
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kigoma Mganwa Nzota amekemea tabia za wananchi wanaoharibu miundombinu ya nguzo na vibao vya anuani ya makazi na kutumia kama vyuma chakavu. Ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya utekelezaji wa mfumo wa anuani za makazi…
12 March 2024, 14:35
Wazururaji kusakwa mtaani kuimarisha usalama Kigoma
Madiwani na Wananchi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma, wameadhimia kwa pamoja, kuwasaka na kuwakamata Vijana wanaozurura Mitaani na kufanya Uhalifu kwa kuvunja makazi ya watu na kuiba thamani za ndani na kuhatarisha usalama wa watu, ikiwa ni baada…