Joy FM

Recent posts

13 October 2023, 13:25

Wananchi Kakonko wakabiliwa na changamoto ya huduma za afya

Na Jame Jovin Wananchi wa kijiji cha Nyakivyiru wilayani Kakonko mkoani Kigoma wameiomba halimashauri ya wilaya hiyo kuwajengea zahanati ili kuepuka kutembea umbali wa zaidi ya kilometa 30 kufuata huduma za afya hali ambayo hupelekea vifo hasa kwa akina mama…

11 October 2023, 17:13

Kiwanda cha kutengeneza meli kujengwa Kigoma

Hatua ya kuanza ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza meli kinatjwa kuwa ni miongoni mwa mikakati ya Serikali kuboresha huduma za usafirishaji ndani ya Ziwa Tanganyika. Na, Tryphone Odace Serikali Kupitia Wizara ya Uchukuzi, imetia Saini makubaliano ya kuanza ujenzi wa…

11 October 2023, 12:14

Wanafunzi walio nje ya mfumo rasmi wa elimu walia na uhaba wa mabweni

Wanafunzi wanaosomo masomu ya elimu ya watu wazima wakiwemo waliorudi shule baada ya kushindwa kuendelea na masomo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito wamesema licha ya Srikali kuwarudisha shuleni kusoma bado wanakabiliwa na mazingira magumu kutokana na wengi wao kuishi…

11 October 2023, 11:43

Ujenzi bandari ya Lagosa ziwa Tanganyika wafikia 96%

Hatua ya kuanza ujenzi wa Bandari ya Lagosa iliyopo Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma inatajwa kuwa mkombozi kwa wananchi wanatumia ziwa hilo kusafirisha bidhaa zao ikiwmo Nchi jirani za Congo na Burundi. Na Tryphone Odace Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa,…

11 October 2023, 11:30

Waziri Pro. Mbarawa ashusha kibano kwa TRC

Katika kuhakikisha usafiri kwa kutumia treni unaimarika Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa ameagiza watumishi wa Reli kufanya kazi kwa weledi na kujituma ili kuhaikisha wanatoa huduma bora. Na, Tryphone Odace Waziri wa  Ujenzi Pro. Makame Mbarawa ameonyesha kutoridhishwa utendaji wa…

6 October 2023, 16:21

Afariki baada ya kufukiwa na kifusi cha mawe Kigoma

Jamii imeomba Serikali kuchukua hatua za kudhibiti shughuli za uchimbaji wa madini ya mawe katika eneo la masanga manispaa ya kigoma Ujiji kutokana na kuhatarisha maisha ya watu. Na Eliud Theogenes Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Shabani amefariki…

6 October 2023, 16:05

DC Uvinza apiga marufuku ramli chonganishi kwenye jamii

Serikali imesema itawachukulia hatua za kisheria wanaoendelea kupiga ramli chonganishi kwenye jamii wilayani Uvinza mkoani Kigoma. Na Kadislaus Ezekiel Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Dinna Mathamani amethibitisha kufariki watu watatu wakazi wa kijiji na kata ya Kazuramimba wilayani Uvinza mkoani…

6 October 2023, 08:01

Wananchi waipa kongole serikali kwa ujenzi wa madaraja ya mawe

Teknolojia ya ujenzi wa madaraja kwa kutumia mawe imetajwa kuwa mkombozi kwa wananchi wa wilaya za Kigoma baada ya kurahisisha shughuli za usafirishaji. Na. Tryphone Odace Wananchi wa vijiji vya Nyamidaho, Bitale Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na Nyamihanga wilaya…

4 October 2023, 11:01

Wadau wa elimu Kigoma watakiwa kusaidia kuboresha miundombinu

Serikali imeomba wadau wa elimu kuendelea kusaidia katika kuboresha miundombinu ya elimu Mkoani Kigoma. Na Hagai Ruyagila Wadau wa elimu mkoani Kigoma wametakiwa kuunga mkono juhudi za serikali katika kuboresha sekta ya elimu kwa kuchangia upatikanaji wa miundombinu bora kwa…