Joy FM

Recent posts

20 November 2023, 13:55

Uchumi wa wavuvi Kigoma kuchochewa na vifaa vya kisasa walivyokabidhiwa

Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli za uvuvi ndani ya  Ziwa Tanganyika  mkoani  Kigoma wanatarajia kujikwamua kiuchumi  baada ya serikali kuwawezesha zana za kisasa za uvuvi  ikiwemo  boti 9 na vifaa vyake zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 500. Na,…

16 November 2023, 17:03

Familia ya kijana aliyefariki Kakonko yaomba uchunguzi ufanyike

Familia ya Kijana Enock Elias aliyefariki katika mazingira ya kutatanisha yaomba uchunguzi dhidi ya waliohusika na mauaji hayo. Na Kadislaus Ezekiel Familia ya kijana Enock Elias Sabakwishi, mkazi wa kijiji cha Ilabiro kata ya Katanga wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma,…

8 November 2023, 17:53

RUWASA yatatua kero ya maji Buhigwe

Wizara ya Maji Kupitia Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWASA wilayani Buhigwe mkoani Kigoma, wamefanikiwa kufikia asilimia 72.2 ya usambazaji wa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi, na kupunguza kwa kiwango kikubwa cha ukosefu wa…

8 November 2023, 13:39

Takukuru yabaini mapungufu kwenye miradi minne ya maendeleo Kigoma

Vitendo vya rushwa vimeendelea kushamiri katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchi hali inayochangia baadhi ya miradi hiyo kushindwa kukamilika kwa wakati. Na, Lucas Hoha Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Takukuru mkoa wa Kigoma imebaini mapungufu…

3 November 2023, 16:39

Watu wasiojulikana wavunja vibanda 13 vya biashara manispaa ya Kigoma

Kubomolewa kwa vibanda hivyo kunatajwa kuwarudisha nyuma wafanyabiashara wakubwa na wadogo kwani ndio sehemu pekee walitegeme kujipatia kipato. Na Emmanuel Matinde Watu wasiojulikana wanaokisiwa idadi yao kuwa ishirini wamevunja kuta za vibanda vya biashara 13 kati ya 25 vinavyojengwa katika…

1 November 2023, 15:32

Serikali kuendelea kutatua changamoto za wafanyabiashara Kigoma

Wafanyabiashara wameomba serikali kuweka mazingira rafiki ili waweze kufanya vizuri katika kufanya baishara ndani na nje ya nchi. Na Lucas Hoha Serikali imewahakikishia wafanyabiashara wa mkoa wa Kigoma kuwa inaendelea kutatua changamoto na vikwazo vinavyowafanya kushindwa kufanya biashara ikiwemo kuboresha…