Joy FM

Recent posts

18 December 2023, 15:46

Chama cha ushirika Kasulu chawachagua viongozi wapya

Chama cha Ushirika cha Umoja ni imani wilayani Kasulu mkoani Kigoma kimechagua uongozi mpya utakaodumu kwa miaka mitatu ukiongozwa na mwenyekiti wake Alfa Obed aliyechaguliwa kwa kura 106. Na, Hagai Luyagila Akizungumza na vyombo vya habari Afisa ushirika wa halmashauri…

15 December 2023, 10:07

Milioni 430 zaondoa kero ya maji kata ya Businde Kigoma

Wakazi wa kata ya Businde Manispaa ya Kigoma Ujiji wameondokana na adha ya ukosefu wa maji safi na salama baada ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa mazingira (KUWASA) kukamilisha mradi wa bomba la maji lenye urefu wa kilometa…

14 December 2023, 16:54

Madereva wafikishwa mahakamani na kufutiwa leseni Kigoma

Madereva wa vyombo vya moto Mkoani Kigoma wametakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani hasa kipindi hiki cha mwisho wa Mwaka ili kuzuia ajali ambazo zinaweza kujitokeza. Na Josephine Kiravu Akizungumza na wanahabari hivi Karibuni Kamanda wa polisi Mkoa wa Kigoma,…

14 December 2023, 16:19

Wafanyabiashara soko la Gungu walia na ukosefu wa miundombinu bora

Serikali imeombwa kukarabati miundombinu ya barabara na mitaro inayopita katika soko la Gungu Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma. Na Orida Sayon. Wafanyabiashara wa soko la Gungu lililoko kata ya gungu maniapaa ya kigoma ujiji wameitaka serikali kuboresha miundombinu ya…

11 December 2023, 17:08

Ahukumiwa miaka 105 kwa makosa ya ulawiti na ubakaji uvinza

Wahukumiwa kwa makosa ya ulawiti na ubakaji Kigoma. Na Josephine Kiravu. Katika kuendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto, Mahakama ya wilaya Uvinza imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 105 Wangala Maganga baada ya kutiwa…

29 November 2023, 09:57

Serikali kutumia bilioni 40 kukarabati meli mbili ziwa Tanganyika

Serikali inatarajia kutumia jumla ya Shilingi Bilioni 40 kukarabati meli kongwe ya abiria na mizigo ya MV Liemba pamoja na meli ya mafuta ya MT Sangara yenye uwezo wa kubeba lita laki nne za mafuta ambayo  matengenezo yake  tayari yameanza. Akizungumza baada kutembelea na…

27 November 2023, 15:33

Wajasiriamali mkoa wa Kigoma kujulikana kimataifa

Wajasiriamali wanaofanya shughuli za uokaji bidhaa manispaa ya Kigoma Ujiji wamekutana kwa ajili ya mafunzo maalum yaliyoandaliwa na Shirika la viwango  Tanzania TBS yenye lengo la kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wao. Na, Josephine Kiravu. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa…