Recent posts
8 May 2024, 13:13
Wajasiriamali tumieni vitambulisho kupata mikopo
Serikali imewataka wajariamali kutumia vitambulisho vya ujasiriamali kama sehemu ya kuwawezesha kupata mikopo itakayowasaidia kujiendeleza kibiashara. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wajasiriamali wadogo wadogo wa halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwa na kitambulisho cha ujasiriamali ambacho kitamsaidia kupata…
7 May 2024, 17:00
Meja Kodi: Lazima tulinde mipaka yetu iwe salama
“Mkoa wa Kigoma una wageni wengi wanaoingia nchini hivyo hatuna budi kuwa makini na kuhakikisha ulinzi unaimarika katika mipaka ya nchi yetu ili kuhakikisha hakuna tatizo linaokea”. Na, Tryphone Odace – Kigoma Mkuu wa Tawi la Lojistiki na Uhandisi Jeshini, …
6 May 2024, 17:06
ACT Wazalendo yampitisha zito kuwa rais
Kiongozi wa cha ACT wazalendo Zitto Zuberi Kabwa amesema kama atagombea urais mwaka 2025 kama wananchi na wanachama wa chama hicho watampa ridhaa ya kuwaongoza. Na Kadislaus Ezekiel – Kigoma Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar…
6 May 2024, 15:58
Neema yawashukia wakulima wa mpunga kasulu
Serikali imeeleza kuwa wakulima wataendelea kuneemeka na mavuno yenye tija iwapo watazingatia maelekezo ya wataalamu wa kilimo juu ya kilimo chenye tija na ushindani katika soko la ndani na nje ya nchi. Na Timotheo Leonard – Kasulu Wakulima wa zao…
6 May 2024, 11:22
Mtoto wa miaka 8 afariki baada ya kuzama kwenye mto nyakafumbe
Wazazi wametakiwa kuwa karibu na watoto wao ili kubaini maeneo watoto wanapochezea ili kuwakinga kupata madhara na majanga ya kuanguka kwenye mito na visima. Na Michael Mpunije – Buhigwe Wananchi wa kitongoji cha Ruhuba kijiji cha Muhinda kata ya Muhinda…
6 May 2024, 08:53
RC Andengenye awataka vijana wa jkt kujiajiri
Vijana wa kujenga wanaohitimu mafunzo ya kijeshi katika kambi ya mtabila wametakuwa kuwa wazalendo kwa nchi na kutumia maarifa na ujuzi waliopata katika kujiajiri na kuacha kutegemea ajira. Na, Tryphone Odace – Kasulu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye…
3 May 2024, 16:02
Milioni 700 kuongeza mtandao wa maji Kasulu
Milioni 700 zimetolewa kwa ajili ya kutandika mabomba ya maji kwa kata za kasulu mjini ili kuwasogezea wananchi huduma ya maji karibu.
3 May 2024, 14:52
Madaktari bingwa 60 kutoa huduma za kibingwa Kigoma
Zaidi ya madaktari bingwa 60 wanatarajia kutoa huduma za afya za kibingwa kwa wananchi wa mkoa wa Kigoma na mikoa jirani ikiwemo Tabora, Katavi pamoja na Rukwa kwa muda wa siku tano katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma…
3 May 2024, 14:00
RC Kigoma awataka vijana kutumika kimaendeleo
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna Jenerali mstaafu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye ameiasa jamii kutumia nguvu kazi ya vijana katika shughuli za Kimaendeleo ili kuongeza uchumi wa taifa na jamii kwa ujumla. Ametoa wito huo wakati…
3 May 2024, 12:06
Wahudumu wa afya acheni lugha chafu kwa wagonjwa
Mkuu wa wilaya Kigoma Mkoani kigoma amesema serikali itaendelea kuwachukulia hatua kali wahudumu wa afya wanaokiuka madili ya kazi zao kwa kutumia lugha chafu kwa wagonjwa ikiwmo kuwasimamisha kazi. Na Orida Sayon – Kigoma Wahudumu wa vituo vya Afya na…