Joy FM

Recent posts

15 January 2024, 13:23

Polisi Kigoma yakamata silaha 16 zinazomilikiwa kinyume na sheria

Jeshi la Polisi Mkoani kigoma limefanikiwa kukamata silaha 16  zilizokuwa  zinamilikiwa kinyume na sheria huku  washatakiwa 2 wa kesi za kupatikana na hatia wakihukumiwa kifungo cha kwenda jela miaka 20 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumiliki silaha…

15 January 2024, 11:49

Zaidi ya nyumba 100 zaezuliwa wilayani Kibondo

Tathimini iliyofanywa na kamati ya maafa wilayani Kibondo mkoani Kigoma imebaini kuwa zaidi ya nyumba 100 ziliezuliwa na mvua iliyoambatana na upepo katika kambi ya wakimbizi Nduta ndani ya wiki mbili zilizopita. Hayo yamebainishwa na mkuu wa wilaya ya Kibondo…

15 January 2024, 10:10

Mpango awataka vijana kuepuka lugha chafu mitandaoni

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Philipo Mpango Amewataka vijana kote nchini kuachana na matumizi ya lugha zenye viashiria vya uchochezi wa uvunjifu wa amani hasa wakati huu ambao Taifa linajiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa.…

12 January 2024, 16:32

Mawasiliano wilayani Buhigwe ni changamoto kubwa

Halmashauri  ya Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, na Baadhi ya Maeneo ya Wilaya Zinazopakana na Nchi Jirani za Burundi na Congo, zinakabiliwa na Changamoto ya mawasiliano kwa kuwa na Mwingiliano na Nchi Hizo hatua inayokwamisha  ufanisi  katika utendaji kazi kwa…

12 January 2024, 08:37

Kibondo hakuna mafuriko lakini kuna athari kubwa

Licha ya kutokuwepo mafuriko katika wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma lakini mvua zinazoendelea kunyesha zimeacha athali mbali mbali ikiwemo uharibifu wa miundo mbinu ya barabara, uharibifu wa mazao shambani na kuezuliwa kwa nyumba.  Na, James Jovin Hayo yamebainishwa na mkuu…

12 January 2024, 08:28

Serikali yatoa pikipiki 4 kwa maafisa ugani Kigoma

Serikali imetoa pikipiki 4 zenye thamani ya shilingi Milioni 12 kwa maafisa ugani wa idara ya mifugo na uvuvi katika Manispaa ya Kigoma ili kurahisisha kufanya kazi ya kutoa Elimu kwa wafugaji, wakulima na wavuvi ili wazalishe kwa tija. Na…

10 January 2024, 19:28

Mpango wa msindikizaji unavyopunguza vifo vya mama na mtoto

Wananchi wa halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma, wamesifu huduma ya msindikizaji mama mjamzito katika vituo vya afya kuwa imesaidia kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto vinavyotokea wakati wa kujifungua. Wakizungumza katika kituo cha afya Kiganamo kilichoko halmashauri ya…

9 January 2024, 18:06

Shughuri za uvuvi zasitishwa ziwa Tanganyika

Waziri  wa  Mifugo  na Uvuvi  Mh. Abdalah Ulega ametangaza rasmi kusitishwa kwa shughuli za uvuvi ndani ya Ziwa Tanganyika  ili kulinda mazalia ya Samaki ambayo yanazidi kupotea huku akiwatoa hofu wavuvi kuhusu shughuli gani watakazofanya pale utekelezaji huu utakapoanza. Na,…

9 January 2024, 17:39

madarasa 38 shule za sekondari yakamilishwa wilayani kakonko

Serikali wilayani Kakonko mkoani Kigoma imekamilisha ujenzi wa vyumba 38 vya madarasa katika shule za sekondari wilayani humo hatua itakayowezesha wanafunzi wote waliochaguliwa kidato cha kwanza kuanza masomo kwa wakati  Ujenzi huo uliogharimu shilingi milioni 760 umeambatana na utengenezwaji wa…