Joy FM

Recent posts

25 January 2024, 15:53

Serikali, wananchi Buhigwe watatua kero ya umbali mrefu wa shule

Mwenyekiti wa Jumuia ya Umoja Vijana wa chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Muhamed Kawaida amewapongeza wananchi wa kata ya Biharu Wilaya ya Buhigwe kuanzisha ujenzi wa sekondari kutokana na changamoto kadhaa za kiusalama na umbali kwa wanafunzi waliokuwa wakilazimika kufuata huduma…

25 January 2024, 15:16

Bilioni 3 kujenga ofisi mpya za wilaya Kibondo

Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma imeanza ujenzi wa ofisi mpya za halmashauri hiyo zitakazogharimu zaidi ya shilingi  bilioni 3 mpaka kukamilika kwake ikiwa ni mikakati ya serikali ya kuboresha mazingira ya kutolea huduma kwa wananchi. Na, James Jovin…

25 January 2024, 11:22

Kibondo: Vijana waaswa kutumia amani iliyopo kusoma kwa Bidii

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Rehema Sombi, amewataka vijana wa kitanzania kutumia amani iliyopo kusoma kwa juhudi na maarifa ili kuhakikisha nchi inapiga hatua zaidi kimaendeleo kwa kuwa na watu wenye uwezo wa kukabili changamoto…

25 January 2024, 09:15

Serikali kuendelea kuboresha huduma za afya Kakonko

Makamu  Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Rehema Sombi Omary, amesema serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, itaendeleza kazi ya kuboresha huduma za afya nchini kwa kutenga fedha na kuzishusha chini kuwafikia…

24 January 2024, 16:02

Wananchi walia na ukosefu wa maji, watumia maji ya mito na visima

Baadhi ya Wananchi  katika  Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani Kigoma wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama kutokana na huduma hiyo kushindwa kuwafikia kwa zaidi ya miaka 60 na kuwalazimu kutumia maji machafu kutoka…

22 January 2024, 12:30

Michango mingi yawaondoa walimu CWT

Baadhi ya waalimu wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameulalamikia uongozi wa chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kuwakata michango mingi hali inayopelekea baadhi ya waaalimu kijiondoa katika chama hicho. Akizungumza katika kikao cha wadau Elimu Mkuu wa shule ya sekondari Ruchugi…

22 January 2024, 09:49

Halmashauri ya wilaya Kasulu yakusanya zaidi ya bilioni 19

Halmashauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekusanya zaidi ya shillingi billion 19 ambayo ni sawa na asilimia 61 kutoka ruzuku ya serikali, wahisani na vyanzo vya ndani vya mapato vya halmashauri hiyo katika kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba…

22 January 2024, 09:20

TRA Kasulu yashindwa kufikia malengo

Mamlaka ya mapato Tanzania TRA wilaya ya Kasulu mkoani kigoma imeshindwa kufikia lengo la ukusanyaji mapato katika kipindi cha mwezi julai hadi Desemba 2023 ikiwa ni   nusu ya bajeti ya mwaka wa fedha 2023/2024. Na, Hagai Ruyagila Akitoa taarifa katika…

19 January 2024, 12:51

Binti wa miaka 15 abakwa na mjomba wake Kigoma

Binti  mmoja  mwenye umri wa miaka 15 ambaye ni mhitimu wa elimu ya msingi mwaka jana amekutana na madhira ya kubakwa na mjomba wake ambaye ni mdogo wa mama yake alipokwenda kumsalimia. Na, Josephine Kiravu