Recent posts
28 May 2024, 11:29
“Wananchi acheni kuhujumu miundombinu ya umeme”
Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania TANESCO mkoani Kigoma limewataka wananchi kutoa taarifa za watu wanaoharibu miundombinu ya umeme kwa kukata nyaya na kuchoma moto nguzo za umeme. Na Michael Mpunije – Kasulu Wananchi wilayani Kasulu Mkoani kigoma wametakiwa kuacha…
28 May 2024, 11:16
Wazee waomba serikali kuongeza pesa za TASAF
Licha ya serikali kuendelea kutoa pesa kupitia mpango wa kunusuru kaya masikini kwa kaya ambazo hazijiwezi, baadhi ya wanufaika wameomba serikali kuendelea kuongeza kiasi cha fedha ambazo zitasaidia walengwa kujikwamua zaidi. Na Kadislaus Ezekiel – Buhigwe Wazee katika halmashauri ya…
28 May 2024, 10:31
TASAF yageuka neema kwa kaya masikini
Serikali wilayani kibondo mkoani kigoma imesema mpango wa kunusuru kaya masikini umesaidia kaya nyingi kujinusuru na umasikini kupitia elimu ya namna ya kutumia fedha wanazopewa katika kuzalisha mali ikwemo ufugaji. Na James Jovin – Kibondo Baadhi ya kaya masikini katika…
27 May 2024, 14:36
DC Kigoma ahimiza waumini kujiandikisha daftari la mpiga kura
Wakati zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura likitarajiwa kuzunduliwa julai mosi mwaka mkoani kigoma, viongozi wa dini na wadau mbalimbali wametakiwa kuhimizi waumini na jamii kwa ujumla kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi hilo la uboreshaji wa daftari…
27 May 2024, 09:29
Zaidi ya watoto elfu 10 wadumaa Kibondo
Serikali wilayani kibondo mkoani kigoma imesema itaendelea kutumia siku ya afya na lishe ya kijiji kutoa elimu ya namna ya kuanda lishe bora kwa wananchi ili waweze kufahamu namna ya kukabiliana na lishe duni kwa watoto ambao wameonekana kuwa na…
23 May 2024, 16:12
Wadau waombwa kusaidia wanafunzi walemavu
Jamii na wadau wa maendeleo wilayani Kasulu wametakiwa kujitoa kwa wanafunzi wenye ulemavu kwa kuwapa msaada wa mahitaji mbalimbali ili waweze kufikia malengo kama makundi mengine ya watoto. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wadau wa maendeleo katika wilaya ya Kasulu…
23 May 2024, 09:22
Elimu ndogo ya lishe chanzo cha udumavu kwa watoto
Licha ya jitihada mbalimbali za wadau na serikali katika kutoa elimu ya lishe kwa jamii bado tatizo la lishe limekuwa pasua kichwa kwani bado watoto wanasumbuliwa na magonjwa yatokanayo na ukosefu wa lishe ya kutosha. Na James Jovin – Kibondo…
23 May 2024, 09:05
Serikali kuboresha miundombinu kwa wanafunzi walemavu
Wadau wa maendeleo wametakiwa kushirikiana na serikali katika kuhakikisha wanatengeneza miundombinu wezeshi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum ili weweze kusomea katika mazingira rafiki. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wito umetolewa kwa serikali kuendelea kuboresha miundombinu ya shule kwa watoto wenye…
23 May 2024, 08:23
TASAF yasaidia kupunguza mimba kwa mabinti
Serikali wilayani uvinza mkoani kigoma kupitia kwa mratibu wa mpango wa kunusuru kaya masikini Nchini TASAF imesema kuwa ruzuku zinazotolewa kwa kaya masikini zimesaidia kupungunguza umasikini ambao ulikuwa ukisababisha ukatilii hasa kwa watoto wa kike kuolewa katika umri mdogo. Na…
22 May 2024, 08:12
Silverlands yawapa elimu ya ufugaji kuku zaidi ya wafugaji 200
Wafugaji wa kuku mkoani Kigoma wamesema kuwa wana nia na dhamira ya kufanya ufugaji wa tija kwa kuwa uvuvi kuwa ni miongoni mwa biashara ambayo inaweza kuinua kila mtu na kukuza uchumi wake na taifa kwa ujumla. Na Tryphone Odace…