Joy FM

Recent posts

5 March 2024, 10:09

Mapato yapotea, chanzo kukosekana kwa POS Kasulu

Kukosekana kwa mtambo wa ukusanyaji wa mapato (POS) Personal Operating System kwa baadhi ya kata ikiwemo Nyumbigwa na Murufyiti zilizopo halmashauri ya Mji kasulu Mkoani Kigoma imepelekea halmashauri hiyo kuendelea kupoteza mapato Hayo yamebainishwa na Watendaji wa kata hizo mbili…

4 March 2024, 12:07

Serikali yakamilisha ujenzi wa zahanati Busunzu Kibondo

Serikali imesema itaendelea kuboresha huduma za afya kwa kuhakikisha wanaweka miundombinu bora ya vifaa tiba. Na, James Jovin Wananchi wa kijiji cha Nyaruranga kata ya Busunzu wilayani Kibondo mkoani Kigoma wameepukana na adha ya kutembea zaidi ya kilometa 20 kutafuta…

29 February 2024, 13:06

Wananchi walia na ubovu wa miundombinu ya barabara kigoma

Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha uharibifu wa miundombinu ya barabara hali ambayo imewalazimu wananchi kupaza sauti kwa serikali kuwasaidia kukarabati barabara kwenye maeneo yao. Na, Orida Sayon Wananchi wa Kata ya Kalinzi Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Mkoani…

28 February 2024, 09:45

kamchape wahatarisha usalama Kasulu

Kufuatia uwepo wa migogoro ya ardhi na suala la ramli chonganishi inayofanywa na watu wanaojiita Kamchape katika kata ya Mganza iliyopo halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma imepelekea suala la ulinzi na usalama kuwa changamoto katani humo. Afisa mtendaji wa…

28 February 2024, 08:58

Vyama vya siasa kushirikishwa vyanzo vipya vya mapato Kasulu

Watendaji wa kata zilizopo ndani ya halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwashirikisha madiwani na viongozi wa vyama vya siasa pindi wanapoanzisha vyanzo vipya vya mapato katika kata zao. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilayani…

27 February 2024, 16:47

Bilioni 52 zatekeleza miradi ya maendeleo kibondo

Serikali kwa kipindi cha miaka mitatu Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma imetekeleza miradi ya zaidi ya shilingi bilioni 52 na kuleta manufaa kwa wananchi. Na, James Jovin Zaidi ya shilingi bilioni 52 zimetumika kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo katika wilaya…

26 February 2024, 13:26

Bajeti iliyopitishwa na madiwani kuchochea maendeleo ya mji kasulu

Baraza la Madiwani wa halmshauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma limepitisha mapendekezo ya bajeti ya shilingi bilioni 33.3 inayotokana na mapato ya ndani ya halmashauri Kwa ajili ya miradi ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Hayo yamebainishwa  katika kikao…

23 February 2024, 16:03

KUWASA yabaini michezo michafu kwenye mita za maji

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma Ujiji KUWASA imekemea tabia ya baadhi ya wananchi wanaoharibu miundombinu ya maji kwa kukata mabomba ya maji na wengine kuiba mita za maji. Na, Lucas Hoha Akizungumza na Joy…

23 February 2024, 15:37

Wananchi waipongeza serikali maboresho huduma za afya Kasulu

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusogeza huduma za afya karibu na wananchi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma kwa kuongeza idadi ya zahanati, vituo vya Alafya na kuboresha hospital ya wilaya ya Kasulu Mlimani kuhakikisha jamii inapata…