Recent posts
22 August 2024, 15:18
Bajeti ya serikali kutokuwa kikwazo kwenye maendeleo Tanzania
Mashirika yasiyoya kiserikali wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameiomba serikali kutoa taarifa kwa wadau wa maendeleo ili kuisaidia serikali kutatua changamoto katika jamii kwa haraka kuliko kusubiri mpangilio wa bajeti ya nchi. Wameyasema hayo katika kikao cha wadau wa maendeleo kilichofanyika…
22 August 2024, 15:05
watuhumiwa wizi wa maji mikononi mwa polisi Kigoma
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Manispaa ya Kigoma/Ujiji (KUWASA), kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, wameendesha operesheni na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa wawili wa wizi wa maji waliokuwa wakiiba kwa zaidi ya miaka kumi. Katika operesheni hiyo, Gidion Kiriba,…
22 August 2024, 13:48
NGO’s zatakiwa kuwekeza miradi inayogusa wananchi
Serikali ya mkoa wa kigoma imeyataka mashirika yanayofanya kazi mkoani kigoma kuwekeza zaidi kwenye miradi itakayosaidia wananchi. Na Lucas Hoha – Kigoma Mashirika yasiyo ya kiserikali yaliyopo mkoa wa kigoma yametakiwa kuwekeza kwenye miradi inayogusa maisha ya wananchi ikiwemo maji,…
21 August 2024, 13:05
TALGWU yapongeza serikali kupandisha madaraja watumishi
Wanachama wa chama cha wafanyakazi wa Serikali za mitaa TALGWU mkoa wa kigoma wameomba viongozi wa chama hicho kuendelea kuwasaidia na kuwasemea serikalini ili waweze kupata stahiki na haki zao. Na James Jovini – Kibondo Chama cha wafanyakazi wa serikali…
20 August 2024, 12:42
Wanaochoma misitu kuwekwa mbaroni Kasulu
Serikali wilayani kasulu mkaoni kigoma imesema haitaacha kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wotw wanaojihusisha na uharibifu wa mazingira kwa kuchoma moto. Na Michael Mpunije – kASULU Wadau wa maendeleo wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wameshauriwa kuunga mkono jitihada za serikali…
20 August 2024, 11:23
Imani potofu zahatarisha misitu
Mkuu wa wilaya ya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina amewataka wananchi wilayani humo kutumia njia sahihi za kuandaa mashamba yao na kuacha tabia ya kuchoma moto misitu wakati wa maandalizi ya kilimo. Ameyasema hayo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa…
19 August 2024, 16:42
Maafisa ugani watakiwa kuwatembelea wakulima Kigoma
Mkuu wa Mkoa Kigoma Kamishna Jenerali mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye amewataka maafisa ugani kuwatembelea maafisa ugani na kusikiliza kero zinazowakabili kwenye shughuli za kilimo na kuzitatua. Na Tryphone Odace – Kigoma Kutatuliwa kwa Changamoto ya…
16 August 2024, 15:00
Waziri wa Uvuvi azindua kiwanda cha kuchakata mazao ya uvuvi
Serikali imesema kuwa itaendelea kuweka mazingira bora kwa wawekezaji wa ndani na nje ili waweze kufanya kazi katika mazingira rafiki. Na Lucas Hoha – Kigoma Waziri wa mifugo na Uvuvi nchini Abdallah Ulega amewahakikishia wananchi wa mkoa wa kigoma kuwa…
16 August 2024, 12:30
Vijiji 2 vyapatiwa hati miliki za kimila 500 Kigoma
Wananchi 500 wa vijiji vya Mwamgongo na Kigalye katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma mkoani Kigoma wameanza kunufaika na mpango wa awamu ya pili kupatiwa bure hati miliki za kimila ambazo tayari zimekamilika kati ya hati miliki za kimila 4272…
16 August 2024, 11:09
Shughuli za uvuvi zafunguliwa rasmi ziwa Tanganyika
Serikali imewataka wavuvi wa samaki ndani ya ziwa tanganyika kuacha uvuvi haramu kwa ajili ya uendelevu vsamaki na dagaa. Na Kadislaus Ezekiel – Kigoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amezindua zoezi la uvuvi katika Ziwa Tanganyika baada ya…