Joy FM
Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la mauaji Kigoma
13 January 2025, 13:35
Mahakama Kuu kanda ya Kigoma imemuhukumu kijana mmoja kunyogwa hadi kufa kwa kosa la mauaji huku vijana wengine wawili wakihukumiwa kwenda jela miaka 30 kila mmoja kwa makosa ya ubakaji.