Mpanda FM

Unatumiaje Mabadiliko ya Tabianchi Kama Fursa

8 February 2023, 12:35 pm

MPANDA

Wananchi wa manispaa ya mpanda mkoani katavi wameshauriwa kutambua fursa zinazo patikana kupitia mabadiliko ya tabia nchi.

Hayo yamesemwa na kaimu kituo Cha Hali ya Hewa mkoa [TMA] Boniface Mathew ambapo amesema mabadiliko yanapotokoea wananchi wanatakiwa kuwa wabunifu katika kuendesha maisha yao kuendana na wakati uliopo.

Kwa upande wao wananchi wamesema kuwa wanabadilisha mfumo wa maisha na kutumia athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kama fusra ya kuwaingizia kipato.