Zenj FM
Zenj FM
6 January 2026, 22:19
Majengo yatakayozinduliwa yanajumuisha jengo la taaluma na utawala pamoja na bweni la kisasa la wanafunzi yaliyojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 11 za Kitanzania. Na Mary Julius. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua…
5 January 2026, 21:22
Na Omar Hassan. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi George Simbachawene, amewataka maafisa wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali kuendelea kufanya kazi kwa kuzingatia misingi ya haki, usawa, weledi na uadilifu wanapotekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza katika…
5 January 2026, 20:18
Na Berema Nassor. Waziri wa mawasiliano Teknolojia ya habari na ubunifu Mudrik Ramadhan Soraga amesema lengo na dhamira ya Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuanzisha taasisi ya wakala wa ulinzi JKU ni kuhakikisha serikali inapata mapato yatokanayo na huduma za…
1 January 2026, 10:26
Na Mary Julius. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Abeida Rashid Abdalla, amewaomba viongozi wa wizara na taasisi mbalimbali za serikali kutambua wajibu wao wa kusaidia nchi katika mchakato wa kuridhia Mkataba wa Afrika…
22 December 2025, 16:00
Na Mary Julius. Katika kuhakikisha wananchi wanaondokana na maradhi mbalimbali na kuimarisha afya zao, wadau mbalimbali wamejitokeza kuhamasisha jamii kushiriki mashindano ya mbio yanayojulikana kwa jina la Travelport Fumba Marathon. Akizungumza na vyombo vya habari katika ofisi zake Fumba, Mratibu…
16 December 2025, 21:29
Na Mary Julius. Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF), Khalifa Hilal Muumin, amewataka Masheha kote Zanzibar kuimarisha utoaji wa elimu kwa wananchi katika shehia zao kuhusu Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF),…
15 December 2025, 16:02
Na Mary Julius. Mtandao wa Jumuiya za Wasaidizi wa Sheria Zanzibar, ZAPONET, umeanzishwa kwa lengo la kuzijengea uwezo taasisi zinazotoa huduma za msaada wa kisheria Unguja na Pemba ili ziweze kujisimamia na kuwahudumia wananchi kwa ufanisi zaidi. Akizungumza wakati wa…
11 December 2025, 18:31
Na Mary Julius. Ikiwa leo dunia inaadhimisha Siku ya Milima Duniani, jamii ameihimiza kutambua wajibu wa kutunza na kuhifadhi mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Katika maadhimisho hayo, Zenji fm imezungumza na Afisa Utalii Hifadhi ya Taifa…
10 December 2025, 22:50
Na Mary Julius. Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) upande wa Zanzibar Saleh Haji Pandu amesema serikali imekuwa ikipoteza mapato kutokana na ukosefu wa uelewa katika uuzaji wa rasilimali, hususan kwa wale wanaohusika moja kwa moja na mchakato…
10 December 2025, 21:06
Na Mary Julius. Katika harakati za kuimarisha mapambano dhidi ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI Zanzibar, Afisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Tume ya UKIMWI Zanzibar, Khamis Haroun Hamad, ameibuka na kampeni kabambe inayolenga moja kwa moja wanafunzi wa vyuo vikuu,…
Zenji 96.90 FM is the first private radio station in the Tanzania isles. Currently, Zenji FM is rated as the leading radio station in Zanzibar in total listenership according to various media research reports.
Launched in 2005, Zenji FM integrates education and business in a professional media setting having well researched and tailored programs to cater for different ages and ethnic groups, and at large, capturing the hearts and minds of youth of ages 15 years to adults of 45 years.
Ours is the only Radio station in the isles having partnership with world major broadcasters such as BBC, VOA and Deutsche Welle.
Serviced by professional staff, we deliver popular local radio with a powerful social agenda, and being the oldest radio in Zanzabar, Zenji FM is the only radio with a very strong regional as well as local presence.
VISION:
EDU INFO TAINMENT(Education,information and entertainment) through ….<sauti ya pwani>
MISSION: by providing Educative, reliable information and Entertaining program to all age group